Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Tarriffs(za maana ) si ndiyo zimeanza. Kama zikiendelea hivi na 15% ya export yake ikiathirika tutaona matokeo.China imerudije sana nyuma kiuchumi mpaka sasa? Hebu fafanua kiuchumi
Tarriffs(za maana ) si ndiyo zimeanza. Kama zikiendelea hivi na 15% ya export yake ikiathirika tutaona matokeo.China imerudije sana nyuma kiuchumi mpaka sasa? Hebu fafanua kiuchumi
China kushinda hii vita labda afungulie ile Yuan Payment system inayobase kwenye blockchain. Kwenye Tarriffs atashindwa sababu huwezi kupigana Tarriffs war na nchi ambayo unaiuzia kuliko yenyewe inavyokuuzia. Mfano Kenya haiwezi kupigana Tariffs war na Tanzania. Sababu wao ndiyo wanatuuzia zaidi
Inakuwaje masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka?Tarriffs(za maana ) si ndiyo zimeanza. Kama zikiendelea hivi na 15% ya export yake ikiathirika tutaona matokeo.
Ila ukisoma comment za wamarekani, wanamind sana serikali ya US inavyobania magari ya umeme ya wachina kutouzwa Marekani. Wanatamani yangeuzwa Marekani maana ni mazuri mno na ya kuvutia kuliko Tesla halafu yanauzwa kwa bei ndogo tu. Sasa hapo unaona Serikali ndio inapambana na China ila wananchi wanataka bidhaa za China.Wachina hawana nia njema. Wangekuwa na nia njema wangejenga viwanda ila sio kwenda kuanzisha Car Wash Mikocheni.
Huko Marekani, the US government inapambana na Wachina ipasavyo, usidhanie Wamarekani wanawapenda hao Wachina.
Mwaka 2023 Serikali ya Marekani ilizuia kampuni ya Kichina ya Wanxiang kununua hisa kwenye kampuni ya EVs maana walikuwa wanaogopa influence ya hiyo kampuni kuwa kubwa.
Wachina (wengi) ni waharibifu, wabinafsi na watu wasio na nia njema. Tungekuwa na akili timamu tulitakiwa tuwe tushawafukuza
Mkuu hata Apple ni brand ya Mmarekani lakini zinatengenezwa China. Kwa hiyo hata LG na Sony ni za Japan lakini bado zilizopo huku ni za China.Hisense ni brand ya China imeanzishwa mwaka 1957 ,Lgni brand ya south Korea ,Sony ni brand ya Japan Sumsung no brand ya south Korea
Ni vita, kila mtu atapata majeraha.Inakuwaje masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka?
Nakuambiaga, ukiangalia export kama percent ya GDP unapotoka. China ni export dependent country. Export yake ya 15% ya total export kwenda Marekani inamchango mkubwa sana kwa uchumi wa China. Ni ajira ngapi na services ngapi ndani ya China zinategemea export kwenda USA? Na CCP lazima iretaliate, haitataka kuonekana dhaifu kwa wananchi wake.Ni nani alikwambia China inategemea tu soko la Marekani tu kusurvive?
Unafikiri China ingekuwa inategemea soko pekee la Marekani ingekuwa na ubavu wa kuretaliate kila mara Marekani inapompandishia tariffs?
Soko la Marekani ni 3% tu ya totat GDP ya China
The world is going into a recession just because a crooked spoiled brat who has everything thinks that is not good enough.Toka Term ya kwanza ya trump manufacturer wa US walianza kuhamia taiwan... ndo maana ghafla taiwan imekuwa kwa kasi sana.. na nafikiri huu mchezo wa marekani kwa china anataka kampuni za US zihamie taiwan maana juzi tu hapa US alingia mkataba wa billions of Dollars kuwekeza Taiwan.. nafikiri hidden Agenda ya marekan kwa china ni kuhakikisha kampuni zake zinakimbilia Taiwan
Wamesha retaliate na kuzidisha tariffs zao kwa US kufikia 84%.Nakuambiaga, ukiangalia export kama percent ya GDP unapotoka. China ni export dependent countries. Export yake ya 15% ya total export kwenda Marekani inamchango mkubwa sana kwa uchumi wa China. Ni ajira ngapi na services ngapi ndani ya China zinategemea export kwenda USA? Na CCP lazima iretaliate, haitataka kuonekana dhaifu kwa wananchi wake.
Ni vita, kila mtu atapata majeraha.
Nakuambiaga, ukiangalia export kama percent ya GDP unapotoka. China ni export dependent country. Export yake ya 15% ya total export kwenda Marekani inamchango mkubwa sana kwa uchumi wa China. Ni ajira ngapi na services ngapi ndani ya China zinategemea export kwenda USA? Na CCP lazima iretaliate, haitataka kuonekana dhaifu kwa wananchi wake.
Vita bado mbichi. Ila kwa muelekeo wachina wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wa US. Sisi huku tunaendaje?Wamesha retaliate na kuzidisha tariffs zao kwa US kufikia 84%.
Vita bado mbichi. Ila kwa muelekeo wachina wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wa US. Sisi huku tunaendaje?
Na atapigwa.Trump is fighting a losing battle.
Hata China aki negotiate tariffs - and I hope they don't- Trump hawezi kurudisha manufacturing US kwa sababu nyingine nyingi sana tu.
Trump apigwe tu, maana hamna jinsi.
Wachina wameishi katika hali ngumu chini ya Cultural revolution sioni kipya Cultural revolution ilikuwa worse kuliko worse yenyewe.Vita bado mbichi. Ila kwa muelekeo wachina wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wa US. Sisi huku tunaendaje?
Sijasema hivyo. Kwenye vita tegemea kutoka na mikwaruzo. Pia usichekelee kuporomoka kwa soko la hisa la Marekani. China amewekeza sehemu ya surplus yake kwenye masoko ya fedha ya Marekani. .Kwa hiyo haina faida yoyote kwa Marekani?
Trump kawa kama kadem kanakokwambia "Basi tuachane" kakitegemea utapanic lkn wewe wala hauna habari nako kisha kanakutext tena eti "Kwa hio umeamuaje?""Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna siku China itawapigia simu wakae mezani waanze kubargain. He should stop begging for China to call.
HIi vita hakuna cha kusubiri simu ni toa niweke. Tayari msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametoa tamko baada ya Marekani kuipandishia China ushuru kufikia 104%
"China is not a seeker of trouble. But make no mistake: when challenged we will never back down."
– Lin Jian (Foreign Ministry Spokeperson)
Sijasema hivyo. Kwenye vita tegemea kutoka na mikwaruzo. Pia usichekelee kuporomoka kwa soko la hisa la Marekani. China amewekeza sehemu ya surplus yake kwenye masoko ya Marekani. .
Itaamuliwa na atakayeweza kuhimili mapigo. Atakayeweza kuzuia wananchi wake wasiriot. Na si kwa logic za kiuchumi.China ilishasema itapigana hii vita mpaka Trump atakapomaliza muda wake wa kuwa madarakani