Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

Why isn’t China not matching him, though?

Ni kwa sababu China anauza bidhaa nyingi zaidi Marekani kuliko Marekani anauza bidhaa zake China?
Mchina anataka kuonekana anachukua moral high ground kwamba we are not interested in a trade war, and even when we strike back, we do not hit women and children.

Wired Magazine linatuambia electeonixs zote zitaongezeka bei.

Zidisha bei ya electronics na kahawa za watu halafu tank 401ks za Wamarekani, halafu unategemea Trump atapenya hapo?

Trump is like a desperate man saying a woman wants him, and will call him, but the woman does not call.

He says "They wanna make a deal..." but China just raises their tariffs. No deal.

No deal China.

Shikilia hapo hapo. Let this mf burn and we will see who blinks first.

Whatever happenned to all those anti-tax republican and conservatives?

Why are they letting this petulant child take over everything?
 
Mchina anataka kuonekana anachukua moral high ground kwamba we are not interested in a trade war, and even when we strike back, we do not hit women and children.

Wired Magazine linatuambia electeonixs zote zitaongezeka bei.

Zidisha bei ya electronics na kahawa za watu halafu tank 401ks za Wamarekani, halafu unategemea Trump atapenya hapo?

Currently I don’t think China can match Trump percent for percent.

Best case scenario would have been to double what Trump imposes. 104% is met with 204%.

But that’s not going to happen

This should be a wake up call to the rest of the world.

A unipolar world is bad. We can’t have one country basically hold the whole entire world under hostage.

Multipolarity is a way to the future.

I hope the powers that be are paying attention.
 
Matching peecent for percent is not going to make any difference other than satisfying egos in a pissing contest.

China is making a statement that we are not interested in an egotistical pissing contest.

Apple tayari kasema anaondoa production China anapeleka India. So China akiweka 84% au 104%, haitasaidia Apple kurudi China.

One country cannot hold the world hostage. Marekani ina market kubwa na nzuri, lakini dunia inaweza kuendelea bila market ya Marekani.

Marekani inaihitaji the rest of the world kuliko the rest of the world inavyoihitaji Marekani.
 
Kama Marekani inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Marekani, why the panic?

Kila kona kuna hofu ya recession!

Kama dunia inaweza kuendelea bila Marekani, basi dunia haijaonyesha kuwa inaweza kuendelea bila Marekani.

Binafsi ningependa kuona kila nchi iliyowekewa hizo tariffs na yenyewe inalipiza kwa kiasi kile kile au hata zaidi.

Mambo sijui ya moral high ground….screw them.

Trump anachofanya ni economic bullying.

The way to deal with a bully is to match him action for action.

No need to exercise a moral high ground against bullying.

The EU is weak. It depends on America for a lot of things.

Marekani akichomoa na kutoka NATO, hiyo alliance itasambaratika.

Marekani akichomoa misaada huko Ukraine, Putin anashinda.

Marekani akichomoa misaada kwa Israel, taifa la Wayahudi litasambaratishwa.

Korea Kusini nako hali ni ile ile. Marekani akiondoa majeshi yake huko, Kim Jong Un ataleta balaa.

Africa, in the grand scheme of global geopolitics, is a nonentity.

So far the world hasn’t shown that it can make do without the US and that’s why Trump is acting the way he’s acting.

Just last night he bragged that the countries he imposed his tariffs on are calling him and kissing his ass dying to make a deal 🤣🤣.

View: https://youtu.be/uTRw3liLa7E?si=rIudfuJnyaEet_oZ

If I were China, the EU, or any other country, I would double his tariffs.
 
Umeongea point sana kwa sababu lengo la MAGA ni kurudisha manufacturing Marekani

Cha kushangaza nimeona habari kuwa Apple wanafikiria kuhamisha sehemu ya uzalishiji wao India kutoka China

Ikiwa factory ingerudi Marekani ingekuwa ushindi kwa Trump ila kwenda India ni wazi kuwa Trump amefeli

"Trump is fighting a losing battle"
shida sio tu kwamba enzi za viwanda marekan zilishaisha.waliacha kuwekeza kwenye technology ya uzalishaji. Leo hadi socks zinatoka china n
ingawa ni za quality ila wenye brands zao production inafanyika china.
marekan ukigusa kibarua tu anataka dola 120000000
 
Wamarekani ndio watayakanyaga safari hii.

Trump anataka aendeshe uchumi wa Marekani kienyeji kama Iddi Amin

Anaiagiza Fed ipunguze interest rate. Mwenyekiti wa Fed, Jerome Powel amesema Fed hawatashusha interest rate kwani kufanya hivyo kutaongeza inflation ambayo tayari ipo kwa sasa ikiwakaanga Wamarekani

Kweli mwaka huu Marekani wameyatimba kumchagua Trump raisi ambaye hajui hata concepts za basic economy?

Trump ni mwendawazimu ila waliompigia kura awe raisi ni wendawzimu zaidi

Anafikiri interest rate inaongezwa na kupunguzwa tu bila kuzingatia hali ya uchumi na inflation iliyopo!
Yaani wewe kanyalamumo unamuona trump hajui basic za uchumi 😁😁
Macho madogo wamekula mbwa zimeisha nyoka wameisha

Muhuni Trump amewapiga kofi la uso safari hii watachinjana wapate kitoweo
 
Ndio maana Jerome kamkataa ameona Trump anashauri pumba
 
Kama Marekani inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Marekani, why the panic?

Kila kona kuna hofu ya recession!

Kama dunia inaweza kuendelea bila Marekani, basi dunia haijaonyesha kuwa inaweza kuendelea bila Marekani.

Binafsi ningependa kuona kila nchi iliyowekewa hizo tariffs na yenyewe inalipiza kwa kiasi kile kile au hata zaidi.

Mambo sijui ya moral high ground….screw them.

Trump anachofanya ni economic bullying.

The way to deal with a bully is to match him action for action.

No need to exercise a moral high ground against bullying.

The EU is weak. It depends on America for a lot of things.

Marekani akichomoa na kutoka NATO, hiyo alliance itasambaratika.

Marekani akichomoa misaada huko Ukraine, Putin anashinda.

Marekani akichomoa misaada kwa Israel, taifa la Wayahudi litasambaratishwa.

Korea Kusini nako hali ni ile ile. Marekani akiondoa majeshi yake huko, Kim Jong Un ataleta balaa.

Africa, in the grand scheme of global geopolitics, is a nonentity.

So far the world hasn’t shown that it can make do without the US and that’s why Trump is acting the way he’s acting.

Just last night he bragged that the countries he imposed his tariffs on are calling him and kissing his ass dying to make a deal 🤣🤣.

View: https://youtu.be/uTRw3liLa7E?si=rIudfuJnyaEet_oZ

If I were China, the EU, or any other country, I would double his tariffs.

Bado hawajafikia breaking point. Ngoma bado mbichi. Yakiwazidi wataipiga chini dola na kuachana na SWIFT. Vitu vinavyompa US kiburi
 
Kama kuna wakati muafaka wa dunia kuamka na kuacha kuwa tegemezi kwa Marekani hususan kwenye masuala ya kiuchumi, basi wakati huo ndo huu.

Trump anafanya hayo anayoyafanya kwa sababu anajua ana leverage ya uchumi mkubwa.

Nchi kama Uingereza au Italia haziwezi kuutikisa uchumi wa dunia jinsi ambavyo uchumi wa Marekani unavyoweza.
 
Kama Marekani inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Marekani, why the panic?

Kila kona kuna hofu ya recession!

Kama dunia inaweza kuendelea bila Marekani, basi dunia haijaonyesha kuwa inaweza kuendelea bila Marekani.

Binafsi ningependa kuona kila nchi iliyowekewa hizo tariffs na yenyewe inalipiza kwa kiasi kile kile au hata zaidi.

Mambo sijui ya moral high ground….screw them.

Trump anachofanya ni economic bullying.

The way to deal with a bully is to match him action for action.

No need to exercise a moral high ground against bullying.

The EU is weak. It depends on America for a lot of things.

Marekani akichomoa na kutoka NATO, hiyo alliance itasambaratika.

Marekani akichomoa misaada huko Ukraine, Putin anashinda.

Marekani akichomoa misaada kwa Israel, taifa la Wayahudi litasambaratishwa.

Korea Kusini nako hali ni ile ile. Marekani akiondoa majeshi yake huko, Kim Jong Un ataleta balaa.

Africa, in the grand scheme of global geopolitics, is a nonentity.

So far the world hasn’t shown that it can make do without the US and that’s why Trump is acting the way he’s acting.

Just last night he bragged that the countries he imposed his tariffs on are calling him and kissing his ass dying to make a deal 🤣🤣.

View: https://youtu.be/uTRw3liLa7E?si=rIudfuJnyaEet_oZ

If I were China, the EU, or any other country, I would double his tariffs.

Fareed Zakaria alielezea vizuri mmomonyoko wa nguvu za Marekani na kupanda juu kwa nchi nyingine katika kitabu chake "The Post American World".

Kwa bahati nzuri au mbaya, Mmarekani bado ana nguvu kidogo. Himaya kubwa kama Marekani haianguki mara moja.

Ila, Trump anavyojishebedua ni kama vile Marekani bado iko top vibaya sana.

Uzuri au ubaya wa dunia ya leo ni ukweli kwamba chumi zimeingiliana sana. Hakuna namna ya uchumi mkubwa kama wa China au Marekani kuanguka bila kuathiri dunia nzima.

Kwa mfano, Mchina hata kama anataka kuuangusha uchumi wa Marekani, practically hataweza kufanya hivyo na ku survive bila kuathirika kwa sababu madeni mengi ya Marekani yamenunuliwa na Mchina. Maana yake uchumi wa Marekani ukianguka na Mmarekani akashindwa kulipa madeni yake, na dola ya Marekani ikakosa nguvu kabisa, maana yake Mchina anabaki kabeba mzigo wa madeni ya Marekani yasiyolipika. Na Mchina hataki mzigo huo.

Ndiyo maana Mchina anatumia akili ku deal na Trump akijua kuwa experiment ya Trump itaisha vibaya kwa kuipeleka dunia kwenye recession, Trump ataondoka kwenye urais, atakuja rais Democrat na kuirudisha dunia kwenye mstari.

Wachina wanamlia timing tu Trump wakijua hii ngoma ya watoto haikeshi.
 
Na leo ndo amesema bank zipunguze ununuzi wa dolla ya marekan
 
Kulikuwa na move ya kuiondoa biashara ya dunia kutoka kwenye kuitegemea sana Marekani, lakini Trump anaifanya movement hii ipate nguvu na kufanyika kwa haraka zaidi.

Trump is a catalyst.
 
Dunia iamke sasa!

Trump could very well be a blessing in disguise.

Mambo ya utegemezi yanadhalisha sana.

Ukraine isingekuwa inaitegemea Marekani Rais wao asingedhalilishwa vile alivyodhalilishwa Oval Office.

Na tuliona jinsi ambavyo viongozi wa Ulaya walivyoanza kuhaha baada ya Trump kutishia kusitisha misaada ya Marekani kwa Ukraine.

Na Trump akikata uzi, mataifa ya Ulaya hayatoweza kuisaidia kikamilifu Ukraine.

Matokeo ya Trump kumdhalilisha Zelenskyy yamepelekea baadhi ya viongozi wa Ulaya kuongeza pesa kwenye bajeti zao za masuala ya ulinzi.

Pia, sasa wanazungumzia kuunda jeshi lao wenyewe ili kupunguza utegemezi kwa Marekani.

Hata waziri mkuu mpya wa Canada, Mark Chaney, kasema kuanzia sasa uhusiano kati ya Canada na Marekani, utakuwa tofauti na ulivyokuwa zamani.

Ni matumaini yangu anamaanisha alichokisema.

Marekani akichomoa msaada wa kijeshi kwa Taiwan, China anaingia kama anamsukuma mlevi vile.

Sasa hivi mawasiliano duniani kwa kiwango kikubwa sana hufanyika kupitia huduma za internet.

Marekani inahodhi milango ya huduma za internet. Takriban asilimia 70 ya huduma za internet zinapitia Virginia.

Ashburn [na Reston] zinajulikana kama ndo data center capital.

Kwa mtaji huo, Marekani ina uwezo wa kuvuruga huduma za mawasiliano ya internet na huduma zinginezo zitumiazo internet.

Yaani nchi moja ina uwezo wa kuivuriga dunia kijeshi, kiuchumi, na kimawasiliano.

Over reliance kwa Marekani kwenye mambo muhimu kama hayo lazima ibadilike.
 
Huu ndo ukweli, kiburi cha Trump kimelala humo.
 
Back
Top Bottom