implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Ngoja tuone huu mpambano
Marekani wananchi wameanza kuandamana.Itaamuliwa na atakayeweza kuhimili mapigo. Atakayeweza kuzuia wananchi wake wasiriot. Na si kwa logic za kiuchumi.
Trump kawa kama kadem kanakokwambia "Basi tuachane" kakitegemea utapanic lkn wewe wala hauna habari nako kisha kanakutext tena eti "Kwa hio umeamuaje?"
Sababu mojawapo ya ndoa kuvunjika maana aliyeolewa ni tofauti na mke
Hii ni moja ya sababu ya hii tariffs war. US anatumia pesa nyingi sana kulipa faida kwenye bonds. Japan akiwa na 1.2 trillioni, China akifuata. Anataka kurenegotiate namna ya kulipa hizo bonds na muda wa kumature. Lakini pia huwezi kuamka tu na kusema anauza hizo bonds, kuna taratibu. Pia hakuna wa kuweza kununua hizo zote. Tatu auze apewe nini? USD? Si anarudi alikotoka?China anaidai Marekani zaidi ya USD 750 dollars kwenye treasury bonds, imagine China wakiamua kuuza zote hizo
Hii ni silaha nyingine ambayo China anayo dhidi ya Marekani
Itaamuliwa na atakayeweza kuhimili mapigo. Atakayeweza kuzuia wananchi wake wasiriot. Na si kwa logic za kiuchumi.
Na utajiri wake wote huo alioupata kwa kuteka soko la dunia upo katika USD. Makaratasi ya Marekani.China hana shida yeye soko la dunia kaliteka hofu kwake Marekani
Hizo dollars ni za Marekani au za China?Na utajiri wake wote huo alioupata kwa kuteka soko la dunia upo katika USD. Makaratasi ya Marekani.
China alishajiandaa kwa kupunguza kuitegemea Marekani tangu 2019
Niwakizacho mimi ni AGOA ni kama na yenyewe mwisho wake unakaribia
Sisi tutaathirika na uchumi wa dunia kuingia kwenye recession tu, ika kwenye biashara na Marekani hatuna cha maana tunachomuuzia wala yeye anachotuuzia. Tumepewa fursa ya AGOA, tumeshindwa hata kuuza mihogo na maembe.Vita bado mbichi. Ila kwa muelekeo wachina wanaweza kuhimili hali ngumu kuliko wa US. Sisi huku tunaendaje?
Ni za China. Unakumbuka US walivyofreeze dola 300bilioni za Russia? Japo sidhani kama watafika huko. China kwa utajiri wake kuwa katika dollar anajua yuko kwenye disadvantage. Ndiyo maana ananunua dhahabu kwa fujo. Niseme tu. Hii piga ni kupige ikiendelea bila ya Wamarekani kuriot dhidi ya Trump, China atalose. Kuna nchi nyingi kama Brazil na India zinaweza mpora sehemu ya biashara yake ya uzalishaji. Cha muhimu, sisi huku Global South tunaendaje?Hizo dollars ni za Marekani au za China?
Walioandamana ni wachache mno!Marekani wananchi wameanza kuandamana.
Tusubiri tuendelee kuona nani atatupa Taulo kati ya Marekani na China
AGOA inwshauawa na tariffs za Trump kabla ya huo mwezi wa tusa.Hapo nilipokoleza; U
Usiseme 'ni-kama....'
AGOA inaisha Mwezi wa Tisa mwaka huu (2025)
Labda iongezwe muda lakini binafsi sioni dalili za kuongezwa na kwa misimamo ya huyu muungwana, sijui tusubiri.
Ni za China. Unakumbuka US walivyofreeze dola 300bilioni za Russia? Japo sidhani kama watafika huko. China kwa utajiri wake kuwa katika dollar anajua yuko kwenye disadvantage. Ndiyo maana ananunua dhahabu kwa fujo. Niseme tu. Hii piga ni kupige ikiendelea bila ya Wamarekani kuriot dhidi ya Trump, China atalose. Kuna nchi nyingi kama Brazil na India zinaweza mpora sehemu ya biashara yake ya uzalishaji. Cha muhimu, sisi huku Global South tunaendaje?
Trump anatingisha kiberiti kwa China. China ana flip the bird.104% vs 84%, that’s not tit for tat.
But at least China is showing some spine.
Hao wengine wanaompigia magoti Trump [allegedly] wanaogopa?
Ila hii vita ya kibiashara ndo inazidi kuthibitisha kuwa Marekani ni superpower in every way.
Ndo nchi pekee yenye uwezo wa kuyumbisha uchumi wa dunia.
Wanaweza kuongezeka au kutoongezeka itategemeana na hali itakavyo endelea.Walioandamana ni wachache mno!
Why isn’t China not matching him, though?Trump anatingisha kiberiti kwa China. China ana flip the bird.
Wamarekani watakapoanza kuuziwa iPhones zao pendwa kwa $2,500 ndiyo watajua hawajui.
Marekani ina watu kiasi gani?Wanaweza kuongezeka au kutoongezeka itategemeana na hali itakavyo endelea.
Uchache wao una upima kwa vigezo gani ?