Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #81
Wamekuharibu wapi?Wachina (wengi) ni waharibifu, wabinafsi na watu wasio na nia njema. Tungekuwa na akili timamu tulitakiwa tuwe tushawafukuza
Wamekuharibu wapi?Wachina (wengi) ni waharibifu, wabinafsi na watu wasio na nia njema. Tungekuwa na akili timamu tulitakiwa tuwe tushawafukuza
Hisense ni brand ya China imeanzishwa mwaka 1957 ,Lgni brand ya south Korea ,Sony ni brand ya Japan Sumsung no brand ya south KoreaOkay, nimekupata.
Kuna siku tulikuwa na mjadala fulani jamaa akasema mnasema TV za Ulaya ni nzuri au Blenda za Marekeni ni nzuri, taja brand hata 4 za TV za Ulaya au brand 3 za Blender za kimarekani na utaje maduka mawili yanayouza hizo bidhaa hapa Dar. Sasa ndio naelewa kuwa bidhaa za ulaya ni ghali sana kiasi kwamba haziuziki huku kwetu. Ina maana hizi Hisense, Sony, Samsung na LG zote ni za China tu (hata kama ni branches).
Hisense ni brand ya China imeanzishwa mwaka 1957 ,Lgni brand ya south Korea ,Sony ni brand ya Japan Sumsung no brand ya south Korea
Trump furaha yake ni kuiona China ikianguka kiuchumi ili Marekani iendelee kuwa undisputed SuperpowerNa shida hajui hata basic principles na concepts za uchumi
Ukiangalia jinsi ile plaza accord walivyoiangusha Japan ambayo Kwa kipindi kile miaka ya 80 ilikuwa na kitu tunaita economic boomTrump furaha yake ni kuiona China ikianguka kiuchumi ili Marekani iendelee kuwa undisputed Superpower
WTF is this ?Toka Term ya kwanza ya trump manufacturer wa US walianza kuhamia taiwan... ndo maana ghafla taiwan imekuwa kwa kasi sana.. na nafikiri huu mchezo wa marekani kwa china anataka kampuni za US zihamie taiwan maana juzi tu hapa US alingia mkataba wa billions of Dollars kuwekeza Taiwan.. nafikiri hidden Agenda ya marekan kwa china ni kuhakikisha kampuni zake zinakimbilia Taiwan
Trump furaha yake ni kuiona China ikianguka kiuchumi ili Marekani iendelee kuwa undisputed Superpower
😃 😀 😄 uhusiano wa uzi na picha hi ni aje?
Hizi Tarrifs zina malengo mengi. Si tu kurudisha manufacturing Marekani.
Lengo si tu kurudisha manufacturing Marekani, lengo lingine kubwa ni kuzuia ukuaji wa China. Kuondoa tu manufacturing China na kuzipeleka nchi zingine kama za SEA, India na Latin America utakuwa ushindi mkubwa kwa US katika kuzuia ukuaji wa kasi wa China. Hata kama uzalishaji huo hautarudi US.Ni sawa ila ukweli ni kwamba pasipo kurudisha manufacturing Marekani hizo benefits zingine ni za muda mfupi tu
Hazina uhusiano wowote na ku create ajira mpya ndani ya Marekani na kukuza uchumi wa Marekani
Na akija raisi mpya miaka 4 ijayo anaweza kuja kubadilisha tariffs zote hizo
Ila akirudisha viwanda hiyo ni faida ya muda mrefu
Kuna viwanda viwili vya tiles vikubwa vinazalisha porcelain, sina uhakika kama wameanza na ceramic ila mpango ilikuepo, Huku Tanga wana kiwanda kikubwa Cha cement cha Huaxin,Umewahi kutembelea mkoa wa Pwani? Viwanda vingi hapo ni investment ya Wachina
Na bado wamepewa eneo la Kwala mkoa wa Pwani lenye ekari 2500 kwa ujenzi wa viwanda
Mradi unaitwa Sino-Tan Modern Industrial Park viwanda zaidi ya 200 vitajengwa hapo na kuzalisha ajira zaidi ya 500,000
Hakuna taifa linaloifikia China kwa kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya viwanda
Sasa hivi HOWO wamefungua assembly plant hapa Tanzania. Wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mabasi Yutong D14 mwezi March Msigwa aliomba Yutong wafungue assembly plant
Yutong wakasema wanafikiria hilo ukizingatia wana soko kubwa sana Africa na Tz
China ameshaondoka huko, miaka ya China kufanya manufacturing za West imepita mda mrefu, sasa hivi wana brand zao na wanafocus sana kwenye highend technology badala ya assembly.Lengo si tu kurudisha manufacturing Marekani, lengo lingine kubwa ni kuzuia ukuaji wa China. Kuondoa tu manufacturing China na kuzipeleka nchi zingine kama za SEA, India na Latin America utakuwa ushindi mkubwa kwa US katika kuzuia ukuaji wa kasi wa China. Hata kama uzalishaji huo hautarudi US.
Sizungumzii kuwatengenezea vitu wamarekani(Japo hili bado ni sehemu ya maana tu ya uzalishaji wao ). Nazungumzia kuuza bidhaa zao wenyewe. Asilimia 15 ya bidhaa zao zote wanazouza nje wanauza Marekani. Soko kama hilo likiharibika unarudi sana nyuma.China ameshaondoka huko, miaka ya China kufanya manufacturing za West imepita mda mrefu, sasa hivi wana brand zao na wanafocus sana kwenye highend technology badala ya assembly.
Mfano Mzuri angalia simu, amebaki tu Apple na Samsung, Waliobakia wote Xiaomi, Oppo, Vivo, Tecno kunani, Lenovo, Motorola etc wote ni wachina,
Lengo si tu kurudisha manufacturing Marekani, lengo lingine kubwa ni kuzuia ukuaji wa China. Kuondoa tu manufacturing China na kuzipeleka nchi zingine kama za SEA, India na Latin America utakuwa ushindi mkubwa kwa US katika kuzuia ukuaji wa kasi wa China. Hata kama uzalishaji huo hautarudi US.
Sizungumzii kuwatengenezea vitu wamarekani(Japo hili bado ni sehemu ya maana tu ya uzalishaji wao ). Nazungumzia kuuza bidhaa zao wenyewe. Asilimia 15 ya bidhaa zao zote wanazouza nje wanauza Marekani. Soko kama hilo likiharibika unarudi sana nyuma.
Kuna viwanda viwili vya tiles vikubwa vinazalisha porcelain, sina uhakika kama wameanza na ceramic ila mpango ilikuepo, Huku Tanga wana kiwanda kikubwa Cha cement cha Huaxin,
Hatujui China ingekuwa kubwa kiasi gani bila hivyo vikwazo vya 2018 kuanza, au makampuni yake kama Huawei yasingepigwa pin. Huko kuamishia viwanda vyake nchi za SEA ndiko kumefanya zipigwe tarriffs za kutosha. Pia ukishahamisha viwanda unakuwa kama US alivyohamishia viwanda vyake China. Watu wako wanakosa kazi.Tangu ameanza mwaka 2018 amezuiaje ukuaji wa uchumi wa China?
Kwanza China ana brands zake ambazo ni za MNCs zinazocompete na za S.K, Japan na Marekani katika soko la dunia naye anapush kuziinvest Asia na Latin America
Nadhani wengi hamjaelewa kwa nini China imekuwa na nguvu yabkutunishaina misuli na Marekano
Kwa mfano hapo S.E Asia Chima imewekeza kwenye manufavturing kuliko S.K, Japan na Marekani