Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Hio technology tunayo? If yes wazalisheYafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
View attachment 3295618
Hatuna smelter za aluminium, copper, petrochemical na kiwanda paper and pulp kwa hiyo hiyo technologia hatunaHio technology tunayo? If yes wazalishe
Bongo Bado sana, masikini tuliowengi hatuwezi waza maendeleo huku hata pesa ya chakula ni mtihani.Hatuna smelter za aluminium, copper, petrochemical na kiwanda paper and pulp kwa hiyo hiyo technologia hatuna
Hizi ni excuses tu, ebu ingia youtube uone wahindi wanavyo-reproduce hizo vitu uwani, with no special tools.Hatuna smelter za aluminium, copper, petrochemical na kiwanda paper and pulp kwa hiyo hiyo technologia hatuna
Aisee nilikuwa naangalie zile sufuria non stick , then nikakumbuka na enzi tunatengeneza misumari ya majahazi na madau hapo Tanga , tulikuwa na wapemba ...Yaani vile vle tunachukua mabati , chupa za bati , na materials yote yenye asili ya chuma , tunaweza kwenye moto wa kawaid huku tunapamp mpaka vinakuwa uji wa chuma ..Then tunatumia nyundo kutengeneza shape ya misumari .Hizi ni excuses tu, ebu ingia youtube uone wahindi wanavyo-reproduce hizo vitu uwani, with no special tools.
- Circuit boards za kila aina zinapatikana
- Electronics components za kila aina zinapatikana.
- Tuna viwanda vya kuzalisha magodoro, vyombo vya plastics kama Cello, wanahitaji mould tu.
- Smelter za ukubwa huo za nini kwa sasa? Wahunzi wa chuma walitumia nini? Sembuse sasa tuna gesi?
Tuendelee tu kudanganya na biashara ya iphone makumbusho, mara jicho la 3 la Godlove, Uwinga, Uchawa, Unanijua mimi nani...ndo uwezo wa akili zetu ulipoishia
Halafu leo mtu anakwambia eti hatuna smelter, sijui nini na nini!Yaani vile vle tunachukua mabati , chupa za bati , na materials yote yenye asili ya chuma , tunaweza kwenye moto wa kawaid huku tunapamp mpaka vinakuwa uji wa chuma ..Then tunatumi
Kweli kweliHalafu leo mtu anakwambia eti hatuna smelter, sijui nini na nini!
Haya ni madhara ya elimu, wakidhani kuwa graduates ni kukopi yanayotokea kwa waliondelea...
Kuwa graduates ni kutatua yaliyo kwenye mazingira yako mpaka kufikia dunia ilipo, huwezi kuruka steji.
Miaka ya 1960s, Japan ndo ilikuwa kama China, yaani Ulaya ilikuwa wakiona bidhaa za Japan, ni kama sisi tunavyoona bidhaa za China sasa hivi upande wa Quality....ingawa bado mpaka kesho Japannese vehicles kama Toyota zinadharauliwa Ulaya
Walianza na hand tool, wakapata know how, waka-master skills, wakaboresha, wakafikia waliko wababe.
Tunakazana kuwafundisha watu designing, wala wasijue implementation yake ikoje, na gap kati ya designer na implementor ndo hivyo, hawaelewani hata lugha....Designer anasema "hii hapa unda", implementor anasema "kama unadhani itafanya kazi, unda mwenyewe". Designer anajua majina ya vitu, hajui vinafananaje.
Huwezi zalisha circuit board bila kuwa na smelter ya PCB fabrication wale wanachofanya ni assembly na sio fabricationHizi ni excuses tu, ebu ingia youtube uone wahindi wanavyo-reproduce hizo vitu uwani, with no special tools.
- Circuit boards za kila aina zinapatikana
- Electronics components za kila aina zinapatikana.
- Tuna viwanda vya kuzalisha magodoro, vyombo vya plastics kama Cello, wanahitaji mould tu.
- Smelter za ukubwa huo za nini kwa sasa? Wahunzi wa chuma walitumia nini? Sembuse sasa tuna gesi?
Tuendelee tu kudanganya na biashara ya iphone makumbusho, mara jicho la 3 la Godlove, Uwinga, Uchawa, Unanijua mimi nani...ndo uwezo wa akili zetu ulipoishia
Bila smelter hiyo aluminium ambayo ni michanga au bauxite unaibadilishaje au mchanga wa copper unabadilishaje ili uwe copperHalafu leo mtu anakwambia eti hatuna smelter, sijui nini na nini!
Haya ni madhara ya elimu, wakidhani kuwa graduates ni kukopi yanayotokea kwa waliondelea...
Kuwa graduates ni kutatua yaliyo kwenye mazingira yako mpaka kufikia dunia ilipo, huwezi kuruka steji.
Miaka ya 1960s, Japan ndo ilikuwa kama China, yaani Ulaya ilikuwa wakiona bidhaa za Japan, ni kama sisi tunavyoona bidhaa za China sasa hivi upande wa Quality....ingawa bado mpaka kesho Japannese vehicles kama Toyota zinadharauliwa Ulaya
Walianza na hand tool, wakapata know how, waka-master skills, wakaboresha, wakafikia waliko wababe.
Tunakazana kuwafundisha watu designing, wala wasijue implementation yake ikoje, na gap kati ya designer na implementor ndo hivyo, hawaelewani hata lugha....Designer anasema "hii hapa unda", implementor anasema "kama unadhani itafanya kazi, unda mwenyewe". Designer anajua majina ya vitu, hajui vinafananaje.
Hakuna cha ukweli kaongea ujinga tuKweli kweli
Huwezi tumia technology za zamani ilihali kuna technologia za kisasa yaani utumie mbinu za kijima utengeneza chuma ilihali kuna technologia za sasa uoni kwamba lazima ushindweAisee nilikuwa naangalie zile sufuria non stick , then nikakumbuka na enzi tunatengeneza misumari ya majahazi na madau hapo Tanga , tulikuwa na wapemba ...Yaani vile vle tunachukua mabati , chupa za bati , na materials yote yenye asili ya chuma , tunaweza kwenye moto wa kawaid huku tunapamp mpaka vinakuwa uji wa chuma ..Then tunatumia nyundo kutengeneza shape ya misumari .
Tulikuwa wadogo wazazi hawataki kufanya ila tunatoroka ili tupate pesa , tunaambiwa tu nendeni shule acheni kufanya ujinga huo .
Huhitaji smelter wewe....hapa maneno ya kitaalamu hayasaidii mkuu.Huwezi zalisha circuit board bila kuwa na smelter ya PCB fabrication wale wanachofanya ni assembly na sio fabrication
Huo mchanga wa aluminium unaubadilishaje sasa kama huihitaji smelterHuhitaji smelter wewe....hapa maneno ya kitaalamu hayasaidii mkuu.
Ni hivi, unatumia simu, unazalisha wewe? Unatumia soda, unazilsha wewe?
Unatumia kopi nyingi za vitu hapa, unazalisha wewe?
Kazalishe hizo PCB china huko, lete hapa tufanye hiyo assembly, itasaidia kukuza uelewa na kupunguza gharama, ili tufike huko.
- Hatuwezi kupingana na uhalisia wetu, hatuna uwezo wa kumiliki Beetle, IST, tunaenda kuhangaika na Bentley, Lamborghini, Cadillac etc.
- Huna vifaa tiba ila una ma-LC300 1000
- Watu wanakaa kwenye udongo darasani, unatuambia tununue Ipad za kufundishia
- Namba ya watu wanaofikia elimu ya juu ni ndogo kuliko wanaoishia kidato cha nne, unapambania graduates wapate ajira...ambao sio wazalishaji bali watorokaji wakipata upenyo, kwenye nchi masikini.
BTW, unahitaji kiasi gani kuwa na ka-smelter, 3D printer etc?
- Si tunaona mnaonesha magari mpaka ya bilioni kadhaa, sasa nini inawashinda kufanya mambo ya msingi?
LC300 moja na MRI mmoja ipi bora? Miaka 64 ya kujitawala, tuna MRI 15 ila LC300 hazihesabiki.
Msitulete viingereza kwenye masuala ya msingi mkuu!
😄😄😄Huwezi tumia technology za zamani ilihali kuna technologia za kisasa yaani utumie mbinu za kijima utengeneza chuma ilihali kuna technologia za sasa uoni kwamba lazima ushindwe
Kama huitaji smelter huo mchanga wa copper unaozalishwa Congo unaubadilishaje kuwa copper kama raw material ya viwandani