Kwanini 'charger' za simu hazitengenezwi Tanzania badala yake tuna-import

Kama huitaji smelter huo mchanga wa copper unaozalishwa Congo unaubadilishaje kuwa copper kama raw material ya viwandani
Mpaka wa mama wa Tandika na Mtogole wanavaa dhahabu kama end product, nioneshe hiyo smelter moja hapo Congo au Geita, Chunya etc.

Hatuna sonara hapa wanaocheza na dhahabu baada ya kutoka kwenye smelter?
 
Hujajibu swali mchanga wa bauxite unaubadilishaje na kuwa aluminium coil kama Hutaki smelter
 
Aisee nilikuwa naangalie zile sufuria non stick , then nikakumbuka na enzi tunatengeneza misumari ya majahazi na madau hapo Tanga , tulikuwa na wapemba ...Yaani vile vle tunachukua mabati , chupa za bati , na materials yote yenye asili ya chuma , tunaweza kwenye moto wa kawaid huku tunapamp mpaka vinakuwa uji wa chuma ..Then tunatumia nyundo kutengeneza shape ya misumari .

Tulikuwa wadogo wazazi hawataki kufanya ila tunatoroka ili tupate pesa , tunaambiwa tu nendeni shule acheni kufanya ujinga huo .
Tuna mifumo mibaya ya maisha
 
Zamani kulikuwa na majembe ,mashoka ya ufipa ,sijui walipeleka wapi wake wahunzi na kuanza kuleta yakichina unalimia mwaka mmoja jembe linaisha , watu wanatengeneza magobole badala yakuwachukua kuwaweka pamoja waone wataboreaha nini wao wanawakamata nakuwaweka jela Kisha Wana agiza silaha nje 🤔🤔🤔🤔 hapo ndipo tulisilibwa ubongo .
 
Technology ya zaman ya kutengeneza chuma haiwezi shindana na Technology ya kisasa
Mfano ukitumia technologies ya zaman kutoa tani 10 za chuma utachukua hata miezi ila kwa technologies ya kisasa ni siku kadhaa na yanakua bei ya chini kuliko yale yaliyotengenezwa na technologies ya zaman
 
Umeenda mbali huko mkuu. Kwann usijiulize kwann Tooth stick tuna import wakati miti na kula kitu kipi hapa hapa?
1000163330.jpg
 
Miti tunayo yakutosha tu lakini
Technology ya zaman ya kutengeneza chuma haiwezi shindana na Technology ya kisasa
Mfano ukitumia technologies ya zaman kutoa tani 10 za chuma utachukua hata miezi ila kwa technologies ya kisasa ni siku kadhaa na yanakua bei ya chini kuliko yale yaliyotengenezwa na technologies ya zaman
Sasa kwanini wasingeiboresha hiyo, kama mtu anajua kutengeza kitu Kwa mkono kwanini isiboreshwe hiyo! Ndiyo maana hata mbegu zimeletwa zakisasa kila msimu unanunua mbegu mpya
 
Uzi unahusu charger za simu na sio toothpick
Kuhusu toothpick ntafungua uzi mwingine
 
Atheists watakuambia sababu ni dini 😀
Africans add nothing to innovations and in technology because they have nothing in their heads, just Jesus and Allah is what they know and it's what they preach daily!!

America 🇺🇲 Let's Dominate..💪🌍

China 🇨🇳 Let's Produce..👩‍🏭🔌🖱️

Europe 🇪🇺 Let's Manufacture..👩‍🔧🛠️⚙️

North Korea🇰🇵 and Russia 🇷🇺 Let's Militarize...🚀

Africa close your eyes 🙈 Let's Pray...🤲🧎

Dark continent.
 
Wewe umefanya nini cha maana huku duniani
 
Africans add nothing to innovations and in technology because they have nothing in their heads, just Jesus and Allah is what they know and it's what they preach daily!!

America 🇺🇲 Let's Dominate..💪🌍

China 🇨🇳 Let's Produce..👩‍🏭🔌🖱️

Europe 🇪🇺 Let's Manufacture..👩‍🔧🛠️⚙️

North Korea🇰🇵 and Russia 🇷🇺 Let's Militarize...🚀

Africa close your eyes 🙈 Let's Pray...🤲🧎

Dark continent.
Kwa hiyo hao wengine hawana dini katika hizo nchi?Nyie kenge msiokuwa na dini mbona hamfanyi ugunduzi .

Washenzi hamna hoja mpaka umfuate watu wa dini.
 
Kenge ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Jibu kwa hoja sio matusi.

Halfwit bastard.

Idiot nincompoop.
Wazazi wako wamezaa taahira , hauna kazi ya kufanya unatembelea mgongo wa dini ...Hanithi mkubwa wwe , hamna unachojua kazi kushobokea watu kwa ujinga wako.
 
Back
Top Bottom