Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,674
- 8,313
Sibishi kuhusu mass production, sina shida na qualityTukija kwenye indistrial application it different. Wateja wanataka kitu wenye uhakika nacho.
Viwanda ni muhim aisee, mass producing that tena yenye quality si sawa na kutengenezea uwani
So far mmefanikiwa kujenga viwanda vya chawa, wezi, mafisadi, wauaji, wanasiasa, n.k
Huwezi kukimbilia kwenye mega industries kisha ukawategemea wageni wafanye kila kitu, wajenge, wafanye erection, installation kisha commissioning halafu uwaombe wapeleke watu wako nje kwa mafunzo ya mwezi 1 ili waweze ku-operate kiwanda, only to find out wameenda nje kutalii na kupata Per Diem ili waje wanunue Subaru.
Huwezi kuruka steji, kama unadhani unahitaji mass production, anza na agricultural sector, weka machineries huko;
- zalisha mazao ya kutosha
- weka akiba ya chakula, export chakula(inflation inakuwa contained pole pole)
- tumia forex zipatikanazo kupeleka watu shule za ujuzi nje, kwa level mbalimbali
- fanya industrialization when you have everything in place.
Ila mpaka ufike huko, how do you survive now now?
Maendeleo ni ku-successfully combat/tackle challenges around you.
- Unasumbuliwa na mbu, unatafuta tiba ya malaria?
- Una shida ya barabara, unanunua 4x4 by far?
- unasumbuliwa na dawa za kulevya, unaanzisha Rehab centers?
- watoto wanafeli kwenye masomo yao, una-standardize matokeo.
Hii ndio unayoiita mass production sio?