TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Ukiondoa sperms, mkojo na kinyesi Wewe unazalisha nini?Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Ukiondoa sperms, mkojo na kinyesi Wewe unazalisha nini?Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Your education was a monumental waste of time and resources.Ona ulivyokuwa mshamba 🤣
Ongea tu hamna cha maana kama kidigo tu ,mtumwa mkubwa weweYour education was a monumental waste of time and resources.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.Ongea tu hamna cha maana kama kidigo tu ,mtumwa mkubwa wewe
Vijana ukitoa hoja wanakasirikaHatuko hapa kuongeza chochote.
Tuko hapa kutoa hoja.
Kama mtu hana hoja analeta matusi, asidhani hatuyajui.
Wanafanya ad hominem attack.Vijana ukitoa hoja wanakasirika
Kuna digidigi walinisoma humu wakatishia watachoma home ,kisa uwepo wa Mungu ,simu moja tu nilichowafanya wanajuaWanafanya ad hominem attack.
Badala ya kujibu hoja kwa hoja wanamshambulia mleta hoja.
Sasa sisi wengine tupo fiti kila mahali, kwenye hoja tupo fiti, kwenye matusi tupo fiti.
Mtu aje kivyovyote.
Ata surrender mwenyewe.
Poko ya mtaaFind someone of your league to parallel your mediocrity.
Idiot.
Don't come to vomit your nonsense here.Poko ya mtaa
Poko ya mtaa 🤣Don't come to vomit your nonsense here.
Nyang'au wewe.
Zwazwa kichwa maji.Poko ya mtaa 🤣
Poko ya mtaaZwazwa kichwa maji.
Mikataba wanayoingia pia hulazimisha vitu vitoke kwao,veta &DIT ipo kwa ajili ya kurekebisha wenzao walivyotengeneza and not kuunda upyaYafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Baba yangu ni Poko ya mtaa
Sio lazima hiyo mikataba ifuatwe ukiwa mnyonge sana utaumia dunia haina hurumaMikataba wanayoingia pia hulazimisha vitu vitoke kwao,veta &DIT ipo kwa ajili ya kurekebisha wenzao walivyotengeneza and not kuunda upya
Exposure ni changamoto kubwa Tanzania hasa kwa wafanyakazi wa serikali sera za uwekezaji zinahitaji overhaul kubwa sanaKuna mzungu alikuja Kwa Nia ya kuwekeza lakini danadana alizopigwa pale TIC Hadi aliamua kuhamia Rwanda Kwa watu smart kichwani
Una kilimo cha miti ya mianzi hapa bongo kama akuna kaa kwa kutulia wanasiasa ni wapotoshaji sana usiwasikilize hoja zao ni dhaifu kama wao walivyo dhaifu.Umeenda mbali huko mkuu. Kwann usijiulize kwann Tooth stick tuna import wakati miti na kula kitu kipi hapa hapa?
Sio lazima kuwa na smelters, unaweza kununua parts ukaunganisha
Marekani aliwaza hivyo hivyo kuja kushtuka smelter zake zinapumulia mashine, akaanza kununua chuma nje sababu ni bei rahisi kuliko Marekani mara viwanda vya magari vikaanza amishia uzishaji abroad huna smelter tena huku miji ya Midwest hali mbaya angalia mji kama Gary indiana ni symbol ya kufa kwa smelter za chuma marekani anakuja kushtuka anakimbilia tarrifsSio lazima kuwa na smelters, unaweza kununua parts ukaunganisha