Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #81
Huyu anaitwa infropreneur kila uzi utakaomuona ni anaporomosha matusi ni Bingwa kuharibu nyuzi za watuMbona uzi umegeuka umekua uwanja wa watu kutukanana
Huyu anaitwa infropreneur kila uzi utakaomuona ni anaporomosha matusi ni Bingwa kuharibu nyuzi za watuMbona uzi umegeuka umekua uwanja wa watu kutukanana
Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.Tangu ujue hiyo lugha basi ushamba mzigo
Wapi umetukanwa?Huyu anaitwa infropreneur kila uzi utakaomuona ni anaporomosha matusi ni Bingwa kuharibu nyuzi za watu
CCM nao walaumiwe hapa👿Hizi ni excuses tu, ebu ingia youtube uone wahindi wanavyo-reproduce hizo vitu uwani, with no special tools.
- Circuit boards za kila aina zinapatikana
- Electronics components za kila aina zinapatikana.
- Tuna viwanda vya kuzalisha magodoro, vyombo vya plastics kama Cello, wanahitaji mould tu.
- Smelter za ukubwa huo za nini kwa sasa? Wahunzi wa chuma walitumia nini? Sembuse sasa tuna gesi?
Tuendelee tu kudanganya na biashara ya iphone makumbusho, mara jicho la 3 la Godlove, Uwinga, Uchawa, Unanijua mimi nani...ndo uwezo wa akili zetu ulipoishia
Mpaka sahivi umeshauharibu uzi wangu kwa mdomo wako mchafu jifunze ustaarabu wengine hatujui kutukanaWapi umetukanwa?
Kwanini vitu kama pipi zinaagizwa kwa wingi kutoka nje ya nchi!Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Mkuu nilikua nakuheshimu ila umeonyesha viwango vya chini sana vya tafakari ila nitakuheshimu tuWazazi wako wamezaa taahira , hauna kazi ya kufanya unatembelea mgongo wa dini ...Hanithi mkubwa wwe , hamna unachojua kazi kushobokea watu kwa ujinga wako.
Kumbe unajua pesa zinahitajika kwenye uzalishaji,sasa unashangaa nini kuagiza tooth pick nje!?NIPE MKOPO UKINIPA SASAHIVI HADI SAA 11 NIMESHAANZA KAZI UZALISHAJI
Kuna mambo mengi sana kama nchi yanatakiwa kuwa addressKwanini vitu kama pipi zinaagizwa kwa wingi kutoka nje ya nchi!
Hajaharibu popote ila wewe una hulka za kutaka mtu achangie unavyotaka wewe🤔Mpaka sahivi umeshauharibu uzi wangu kwa mdomo wako mchafu jifunze ustaarabu wengine hatujui kutukana
Umepata faida gani au kitu gani kimeongezeka baada ya kutukania wazazi wa watu wengine jifunze ustaarabu
Watu kutukaniana wazazi wao inahusiana vipi na uzi wanguHajaharibu popote ila wewe una hulka za kutaka mtu achangie unavyotaka wewe🤔
Sijawahi kumtukana mtu ambaye hajanianza na amekuja kwa hoja.Mpaka sahivi umeshauharibu uzi wangu kwa mdomo wako mchafu jifunze ustaarabu wengine hatujui kutukana
Umepata faida gani au kitu gani kimeongezeka baada ya kutukania wazazi wa watu wengine jifunze ustaarabu
Ukiweka uzi humu sio mali yako tena mkuu,kabla ya kuendelea unatakiwa ujitambue hilo.Watu kutukaniana wazazi wao inahusiana vipi na uzi wangu
Waanzishe uzi wao watukanane vizuri
Kufungua uzi ni bure kwanini uende kwenye nyuzi za watu na kuanza kuporomosha matusi wewe unaona ni sahii basi kiwango chako cha ustaarabu kipo chini sanaUkiweka uzi humu sio mali yako tena mkuu,kabla ya kuendelea unatakiwa ujitambue hilo.
Alivyokuita Kenge imekupunguzia nini na ulivyomtukana ni kipi kimeongezeka kwenye maisha yakoSijawahi kumtukana mtu ambaye hajanianza na amekuja kwa hoja.
Huyo member Tanganian ndio ameanza kunitukana kwa kuniita mimi kenge.
And once anyone insult me, I revenge harshly.
Sihataji kuheshimiwa kwa vile hunijui ,mimi Nampa makavu mtu yeyote yule.Mkuu nilikua nakuheshimu ila umeonyesha viwango vya chini sana vya tafakari ila nitakuheshimu tu
Ona ulivyokuwa mshamba 🤣Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.
Sijaona tusi hapoKufungua uzi ni bure kwanini uende kwenye nyuzi za watu na kuanza kuporomosha matusi wewe unaona ni sahii basi kiwango chako cha ustaarabu kipo chini sana
Hatuko hapa kuongeza chochote.Alivyokuita Kenge imekupunguzia nini na ulivyomtukana ni kipi kimeongezeka kwenye maisha yako