Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
š„¶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake zetu/wapenzi wanakuwaga na hela nyingi sana, ila wanabunda, š