Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

Nilikuta muamala wa tsh 1m kwenda kwa mchungaji ukisindikizwa na ujumbe kwamba ni hela ya ahadi ya kununua vyombo vya muziki kanisani.
Roho iliniuma wakati Sina kitu! Wee acha tuu, wanawake Hawa!
Nyie ndugu zangu wake zenu mnaishi nao vipi? Anatuma mil 1 na hujui , hajakuambia … hamna misingi wala code of conduct au ndio wale ma-Boss mil 1 ni kama buku
 
Nyie ndugu zangu wake zenu mnaishi nao vipi? Anatuma mil 1 na hujui , hajakuambia … hamna misingi wala code of conduct au ndio wale ma-Boss mil 1 ni kama buku
Hela ya mwanamke ni yake na hela yako ni yake pia.
 
Ukikua utaacha. Na utajishangaa kwanini ulikuwa unafanya mambo ya kishamba namna hiyo ulivyokuwa mdogo
Unajihami hutaki kushikiwa simu kwasababu mbususu yako ni kama ferry magogoni mikuyenge imepanga foleni
 
Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,

Unakuta ana milion

Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali

🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako

Ila wake zetu/wapenzi wanakuwaga na hela nyingi sana, ila wanabunda, 🙌
Hiv unajua maana ya neno hili. ""Tafuteni nanyi mtapata." Usimchunguze keo kama hauko tayar kuachana nae mkuu. Atakutesa sana
 
Back
Top Bottom