Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

Hahaha!
Halafu mchepuko ndo ukuue na sio mke.
Tatizo niliwekeza hela yangu pale, kwahiyo ilikuwa ni lazima niangalie mwenendo wake Kila wakati

Ilinichukua Siku kadhaa kupata meseji zake zote pamoja na calls

Kisha nikamwambia Kila mtu aendelee na yake
 
Msiwege mnaoa.

Mateso yote hayo ya nini?
 
😃😃😃Kunamtu alinihack wanaume bhana sijui ni wivu au ni nn
 
Huo mchezo sitaki kujaribu tena

Nilifanya tracking ya Simu ya mchepuko wangu fulani, mbona mwenyewe nilinyanyua mikono juu 🙌

Yanini kufa Kwa Presha na Uzee huu tena, wakati pension yangu sijamaliza
Mzee mwenzangu, unafanya tracking kwa mchepuko?🤣🤣🤣 ila bwana kuna nyakati micheps inatukamata kuliko kawaida, sikupingi ila hadi kumtrack..kweli alikukamata!🤣
 
Tatizo niliwekeza hela yangu pale, kwahiyo ilikuwa ni lazima niangalie mwenendo wake Kila wakati

Ilinichukua Siku kadhaa kupata meseji zake zote pamoja na calls

Kisha nikamwambia Kila mtu aendelee na yake
Lakini mwanaume aliyeoa muda mwingi anakuwa na familia yake, huoni kuwa na yeye pia huo muda ambao wewe ulikuwa na familia nayeye alibaki mpweke, akaamua awe na wa kumfariji.
 
Huo mchezo sitaki kujaribu tena

Nilifanya tracking ya Simu ya mchepuko wangu fulani, mbona mwenyewe nilinyanyua mikono juu 🙌

Yanini kufa Kwa Presha na Uzee huu tena, wakati pension yangu sijamaliza
😂😂😂😂Ulikutana na nn mtakuja mfe mapema aisee
 
Mzee mwenzangu, unafanya tracking kwa mchepuko?🤣🤣🤣 ila bwana kuna nyakati micheps inatukamata kuliko kawaida, sikupingi ila hadi kumtrack..kweli alikukamata!🤣
Mzee mwenzangu nilikutana na binti fundi hatari, nikajikuta nimejisalimisha kwake kama mateka wa M23

Baada ya kuanza kuona mabadiriko kwenye simu zake, nikaingia site na kuanza kumtrack

Hii tabia ninayo hadi kesho, Binti akiona anapata vihela vyangu basi ajue kila jambo lake la Siri nalipata

Unless niwe sijajenga kibanda kwake
 
Lakini mwanaume aliyeoa muda mwingi anakuwa na familia yake, huoni kuwa na yeye pia huo muda ambao wewe ulikuwa na familia nayeye alibaki mpweke, akaamua awe na wa kumfariji.
Ni kweli, lakini kama amechagua kuwa nami na nina muhudumia hana budi atii matakwa yangu ikiwemo kuwa mwaminifu

Otherwise iwe hit and run
 
Mzee mwenzangu nilikutana na binti fundi hatari, nikajikuta nimejisalimisha kwake kama mateka wa M23

Baada ya kuanza kuona mabadiriko kwenye simu zake, nikaingia site na kuanza kumtrack

Hii tabia ninayo hadi kesho, Binti akiona anapata vihela vyangu basi ajue kila jambo lake la Siri nalipata

Unless niwe sijajenga kibanda kwake
😂😂😂Ila Jamani mnaapenda. Kujichosha 😂
 
Upo sawa kabisa.
Alijisahau.
Hakika Mkuu

Wazee wengi wa Umri wangu hupenda kutulia sehemu moja badala ya kuhangaika Kila mahali kama Vijana, ndiyo maana huamua kugharamia ili kutulia na kuwa na amani sehemu moja tu

Ukiona changes kwa binti, haraka una mtrack ili kujiepusha madhira
 
😂😂😂Ila Jamani mnaapenda. Kujichosha 😂
Hahaha........bila kufanya tracking hivyo, unaweza kukuta binti amekuunganisha kwenye grid ya Taifa bure na Uzee huu Mjukuu
 
Hakika Mkuu

Wazee wengi wa Umri wangu hupenda kutulia sehemu moja badala ya kuhangaika Kila mahali kama Vijana, ndiyo maana huamua kugharamia ili kutulia na kuwa na amani sehemu moja tu

Ukiona changes kwa binti, haraka una mtrack ili kujiepusha madhira
Huo ndiyo uzuri wa wazee.
Hawana mambo mengi tofauti na hawa wasimamia kucha😁.

Huwa unatumia mbinu gani kutrack mkuu? Tupatie elimu kidogo.
 
Simu ya mke wangu ishakuwa kama yangu tu.
Nikimpigia yeye simpati kwa urahisi mpaka nimtafute jirani.

Meseji za watu huwa hazijibiwi kwa wakati mpaka namsaidia kumjibia.
Sasa nitakagua nini maana mimi naijua simu yake kuliko mwenye nayo.
Umewin life bro!
 
Mi mwanamke wangu alipopata smartphone tu nikajua hii imeenda na ndio ilivyo
Simu ya mwanamke sikagui labda kama nataka kumuacha.
 
Back
Top Bottom