Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,364
- 7,987
Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana.
Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii” haukawii (How they know kwamba tukomalie hapa kuna hela) Ila kama simu hainaga miamala wala ujumbe huupati.
Inaweza kuchukuliwa kawaida ila lazima kuna watu hii njia inawala mno hasa message iingie muda ambao umetoka kuwasiliana na mtu kuhusu kumtumia hela fulani ukija kushtuka umetuma sipo.
Tuwe makini sana maana kuna kitu hakipo sawa,
Na je, mitandao inakabiliana vipi na hali hii maana njia ya sitapeliki haizuii kupokea jumbe hizo?