simu

  1. Phone4Sale Simu za mezani zinapatikana Kwa bei ya kutupa

    Bado simu za mezani zimeendelea kuwa hitaji kubwa hasa Kwa watu wenye ofisi ambao wanahitaji mawasiliano muda wote (kuwa hewani) Pia Kwa familia hii simu inakuhakikishia upatikanaji wa watu wako wa muhimu muda wote. ✨ Hata maeneo ambayo mtandao ni korofi basi hii simu ni suruhisho la kudumu...
  2. Kwa ushangiliaji huu, kama ingekuwa Viwanja vyetu huku, hiyo simu saa hizi ingekuwa wapi?

    Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
  3. Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  4. Nyumba moja kuwa na meter kumi za LUKU haina maana, Napendekeza LUKU moja iwe na line nyingi kama simu

    Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana na matarajio yake ya kuongeza matumizi ya wapangaji au fremu za maduka baadae. Kwahiyo meter...
  5. Kuna watu huwa siwaweki blacklist, ila simu zao sipokei

    Ninao watu wa hivi wengi sana, Blacklist siwaweki ila simu zao watapiga sana na sizipokei, labda atumie namba ngeni.. Huyu yeye anaomba hela mpaka anakera. Kuna kipindi alinichapa hadi 450,000 ila baada ya mwezi akarudisha😅😅😅 Kina mama mnakopa sana halafu marejesho yanawashinda!!
  6. Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Wasalaaaaaam........ Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa. Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
  7. O

    Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

    Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
  8. Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote. Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
  9. P

    Fedha za bima kwa wote kukatwa kwenye line za simu, mpango wenu Serikali ni Watanzania tuache kabisa kuwasiliana?

    Wakuu, Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa! Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu? Hii siyo ya kukalia kimya! Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
  10. Naunganishaje Simu na Tv smart tv (Casting)

    simu yangu :iphone tv: smart tv
  11. Hii simu ni ya Mzee Yusuf Makamba kweli au wanazuga tu?

    Nimeona hii taarifa kwenye ukurasa wa CCM, mimi kilichonivutia ni hiyo simu ya Mzee Makamba, ni kweli kwa hadhi yake anamiliki simu ya aina hiyo au imewekwa hapo kimkakati tu kuonesha jambo fulani? == == === DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  12. Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

    Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo. Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5. Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu...
  13. C

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  14. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  15. Mnara wa Temeke umeshindwa Kuruhusu Simu ya Mwendawazimu kuwapigia Kilazima Watanzania

    Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana. Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
  16. Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
  17. T

    Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

    Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
  18. Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  19. Phone4Sale Pata simu kwa bei nafuu

    PATA SMARTPHONE KWA BEI NAFUU ZAIDI 💵TANZANIA SHILLING 💵 SAMSUNG PRICE E1205-----------------400,000 E1207------------------400,000 A04E 32GB----------280,000 A04E 64GB----------310,000 A04 64GB------------324,000 AO5 64GB------------325,000 A05S 128GB--------400,000 A04S...
  20. Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…