Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1700, mji wa Boston, Massachusetts kama ilivyokuwa kwa dunia nzima kipindi hiko, ulikumbwa na ugonjwa mbaya wa Ndui uliosababisha vifo vya watu wengi. Inakadiliwa watu zaidi ya milioni 300 walifariki kwa ugonjwa wa Ndui duniani kote.
Ugonjwa wa Ndui kipindi hiko...
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea.
Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili...
Simulizi : C.O.D.EX. 1
Mwandishi : TARIQ HAJI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1
Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu sana duniani Los Angels maarufu kama LA. Kama kawaida mapema vijana tunaingia kazini kutafuta mapeni...
SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA
Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa amemshika mkono mdogo wangu ambaye alikuwa darasa la kwanza.Nilimkumbatia mamangu huku nikiwa siamini...
Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama
1. Jamiiforums
Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu chagua jukwaa la Entertainment
Katika jukwaa hili utaweza kusoma simulizi na chombezo mbalimbali bure...
Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha.
Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
Yaliyojiri ndani ya Bunge la Katiba na kulichopelekea kufukuzwa kwake.
Alichomwambia Dr. Shein baada ya kupora Ushindi wa Maalim Seif.
Maisha yake nje ya harakati.
Ukaribu wake na watu.
Anavyowajali Wazanzibari.
Simulizi hii ni sehemu ya pili ya muendelezo wa simulizi za Othman Masoud...
Kisa cha kweli kilichompata rafiki yangu.
SEHEMU YA KWANZA
Umasikini ulikua chanzo cha mimi kugundua mapema kabisa tofauti iliyokuepo kati ya baba na mama yangu, Nililala na baba na mama yangu chumba kimoja hadi nilipoanza darasa la kwanza hapo ndipo uhalisia ukauzidi nguvu ukimya wa kuzuga...
Simulizi : TUTARUDI NA ROHO ZETU?
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KAMA maji ya bahari ya hindi yangekuwa na hisia, basi yangejisiskia fahari sana kwa kupata fursa nyingine ya kuiburudisha miili ya viumbe hawa wawili ambao walikuwa wakiogelea kandokando ya...
Simulizi : NOTI BANDIA
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na : BURE SERIES
SEHEMU YA 1
JIJI la Dar es Salaam linatingishika, wezi sugu wanaingiza noti bandia, watu wanaibiwa. Baadhi wanauza majumba, magari na viwanja. Wafanyabiashara hatari wa dawa za kulevya nao wanacharuka, wanatangaza...
Simulizi : SAFARI NDEFU KUELEKEA KABURINI
Mwandishi : NYEMO CHILONGANI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Muda ulikuwa ukizidi kwenda mbele huku dereva wa gari ndogo aina ya Prado akiwa amesimama nje ya gari hilo huku akimsubiri msichana mrembo, Patricia Thomson aweze kutoka ndani...
Simulizi : KIGUU NA NJIA
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
likuwa mara yangu ya kwanza kumuona baba akitokwa na machozi. Kwa kweli, ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona mwanamume yeyote mwenye
umri wa baba akilia, iwe sirini au hadharani. Kitendo cha...
Simulizi : SALAMU KUTOKA KUZIMU
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KIFO kaja duniani kwa kazi moja tu. Akikukuta umekwisha... Akikusalimia umekwisha... Hana mdhaha. Lakini sasa huyu anataka watu mashuhuri, watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima...
Simulizi : MIKONONI MWA NUNDA
Mwandishi : BEN R. MTOBWA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
UKEKE Maulana alikuwa mzee ambaye siku zote alipingana na uzee, mzee ambaye hakukubali uzee umtawale hata mara moja. Alikuwa vitani akiupinga na kuudhihaki hadi uzee ukaelekea kumpigia...
NOTEBOOK: SEHEMU YA KWANZA
Mshale wa saa ulisimama kwenye 4 na dakika zake ,Carry alikuwa akijigeuza upande wa pil ili alale vizuri Ila mwanga wa jua ulionekana kumkera pindi ulipomchoma usoni, Carry alifumbua macho yake kwa tabu sana na kwa hasira juu ya mwanga ule alianza kujinyoosha taratibu...
Simulizi: AJIRA TOKA KUZIMU
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Aliitazama nchi hii kwa mbali sana, aliyekuwa mkuu wake alimuonyesha kwa kutumia kidole kimoja. Ilikuwa ina rangi ya bluu hii ndio ilikuwa nchi kubwa aliyokuwa ameagizwa kumfanyia kazi yake...
Simulizi: JAMANI MCHUNGAJI !!
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Masikio yake hayakuamini anachokisikia lakini ubongo wake uliamini kuwa mkewe alikuwa kwenye ndoto nzito sana, jasho lilikuwa linamtoka na alikuwa anajiviringisha pale kitandani kwa staili...
Simulizi: UKWELI WENYE KUUMA ( PAINFUL TRUTH )
Mwandishi: NYEMO CHILONGANI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Msichana Happy alikuwa akilalamikia uchungu ambao ulikuwa umemshika katika kipindi ambacho alikuwa shambani akilima. Damu zikaanza kumtoka katika sehemu zake za siri...
Simulizi: AKWELINA
Mwandishi: RUVULY DE FINISHER
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1 YA 50
""" Mke wangu unajua hii inchi yetu ina mambo mengi mno ambayo tukiyaangalia kwa macho tunaona ya kawaida sana lakini kwa mwenye akili na mwenye mtazamo wa kufikiria mbali lazima atatambua kwamba...
Simulizi: BEYOND LOVE (ZAIDI YA MAPENZI)
Mwandishi: 2JIACHIE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1 YA 50
Tom aliheshimika na kutisha, hakuna mtu aliyechezea shughuli zake kutokana na uhusiano mzuri aliokuwa nao na viongozi Serikalini, akiwa mdhamini wa Chama Tawala. Hakuna mtu ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.