simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdallahking

    Simulizi: Asante kwa Kunifuta Machozi (Hisia Zangu)

    Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU) Mwandishi: JOSEPH SHALUWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES ***** SEHEMU YA 1 KATI YA 50 Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua kitakachotokea. Utaniudhi sasa...” akasema Lilian kwa sauti ambayo haikueleweka ilikuwa ya ukali au kudeka...
  2. James Hadley Chase

    Simulizi: Hiliki Ya Chumbageni

    HILIKI YA CHUMBAGENI MWANDISHI: JOSEPH SHALUWA “BABY umeamkaje?” “Honey mzima?” “Mpenzi wangu umeshatoka hotelini?” “Laazizi wangu, jamani nakutumia text zote hizo na hujibu kitu, kuna nini?” “Bravo unajua ulivyonizoesha mume wangu, mbona unanifanyia ukatili mkubwa namna hii?” “Baba yangu...
  3. Sky Eclat

    Simulizi la Bibi, maisha ya Da es Salaam ya Tanganyika

    Dar es Salaam ya Tanganyika ilikuwa na fursa nyingi sana za kazi kwa vijana. Vijana wakitoka mikoani na walipata ajira na kuendesha maisha yao. Ajira nyingi zilikuwa Bandarini kazi ya ukuli, hii ilikuwa ni nguvu yako tu, wengi walikua ni vibarua wa siku. Kulikua na kazi za Reli, kung’oa...
  4. Barackachess

    Maamuzi ya mwisho - Simulizi

    SEHEMU YA KWANZA Kanisa lilibaki na mshtuko mkubwa waumini nao hawakuamini tukio waliloliona mbele ya macho yao. Padri alibaki akiwa amezubaa hakujua nini kinaendelea kanisani hapo pindi Laurance alipo kataa kumvisha pete Nasra kwa sababu ya barua aliyoikuta ndani ya koti lake la suti pasipo...
  5. Abubakari M N

    Kinukamito na Chanikiwiti

    ONYO Hairuhusiwi chini ya miaka 20 UTANGULIZI Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu kwenye mahusiano, waaidha, Mwanamke Chanikiwiti ni yule anayetumia uzuri wake kupata atakacho. Katika...
  6. The Mongolian Savage

    Simulizi kutoka St. Petersburg hadi nimepatamani Urusi

    Mzuka wanaJF Kuna jamaa tulikutana naye kwenye mechi ya mpira ni mcameroun amekaa St. Petersburg toka 2005. Tumejenga urafiki na kunipa story za Urusi. Ananisimulia St. Petersburg ukilinganisha na Copenhagen, Stockholm Oslo na Helsinki kwa pamoja haya majiji ni kama playing ground. Jiji ni...
  7. Dam55

    Simulizi; Bahari ya Hindi

    Simulizi : Bahari Ya Hindi Sehemu Ya Kwanza (1) Ilionekana gari moja aina ya Mark II (old model) ya kizamani,ikipaki nje ya geti la kuingilia bandarini….wakashuka watu wawili,,Mwanaume mmoja na mwanamke mmoja,,watu hao walikuwa wanafanya kazi sehemu moja,katika kituo cha Habari,,,yule mwanaume...
  8. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Simulizi Binafsi: Ninavyomkumbuka Rais wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin Mkapa

    UTANGULIZI: Kwa neema ya Mungu nimefanikiwa kuishi kwenye uongozi wa marais wote 5 wa nchi yetu hadi sasa nikiwa tayari na uwezo wa kuelewa kinachoendelea duniani (kwa sehemu). Kwa kuwa nina shahuku (enthusiasm) kubwa na uongozi na dhana nzima ya kutumikia watu (ambayo siasa ni sehemu yake)...
  9. Abdallahking

    Simulizi : Nguvu ya Mapenzi

    Simulizi: NGUVU YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti katika shule mpya maana wadogo zake hao walikuwa ndio wanaanza kidato cha kwanza na yeye alikuwa...
  10. Abdallahking

    Simulizi : Facebook Imeharibu Maisha Yangu

    Simulizi : FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA SEHEMU YA 1 “"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu yalikutana nao nilipofungua mtandao wa kijamii wa ‘facebook’,sikumbuki kama nilijifikiria mara mbili kwani...
  11. Abdallahking

    Simulizi: Nini maana ya mapenzi

    Simulizi: NINI MAANA YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Alikuwa binti mpole ila muongeaji sana, aliyelelewa katika mazingira ya dini, nyumba yao ilijihusisha zaidi na maswala ya dini kiasi kwamba hakutaka kujihusisha na maswala ya mapenzi kwa...
  12. Abdallahking

    Simulizi: Kurudi Kwa Moza

    Simulizi: Kurudi Kwa Moza Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Moza alikuwa msichana mrembo ila aliishi maisha ya shida na kumfanya ajaribu kufanya kazi za ndani, na kwa bahati akapata kazi kwenye nyumba ya mama mmoja tajiri, aliyejulikana kwa jina la...
  13. Bishop Hiluka

    Simulizi ya kipelelezi: Nani Muuaji?

    NILIKUWA na uwezo mkubwa sana wa kiakili na nilikuwa naongoza darasani kwa kushika nafasi ya kwanza tangu nikiwa darasa la pili shule ya Bronx English Medium Primary School. Nilikuwa nazijua nchi zote huru duniani kwa majina na miji yake mikuu na hata majina ya viongozi wakuu wa nchi hizo, na...
  14. Abubakari M N

    Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
  15. JOTO LA MOTO

    Simulizi: Dokta Ivo (Dr. Evil)

    TITLE: DOKTA IVO MTUNZI: JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA NJE-KUNDUCHI BEACH HOTEL-KWENYE BWAWA LA KUOGELEA-MCHANA. KAZI, kijana mtanashati, miaka 35,akiwa amevalia bukta ndefu ya bluu iliyobana sambamba misuli yake ya miguu, huku akiwa kifua wazi anatembea pole pole kuelekea kwenye bwawa la...
  16. Sky Eclat

    Simulizi: Mapenzi ya Mungu hayakwepeki mtoto wa mfalme alikufa licha ya baba yake kujenga ghorofa la vioo ili kumlinda

    Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake. Mtoto yule alipofikisha miaka minne, Mungu Mwenyezi alimtaarifu mfalme kuwa mtoto yule atakufa siku si nyingi...
  17. Analogia Malenga

    Simulizi ya mwanamke anayekabiliana na ugonjwa uliobadili muonekano wake

    Farah Khalek ni mwanamke mwenye miaka 33 kutoka nchini Kenya, kama wanawake mwingine wa umri wake mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Licha ya kuwa anakabiliana na ugonjwa wa ngozi ambao umebadilisha muonekano wake wa sura kabisa. Ugonjwa huu unajulikana kama Scleroderma. Farah Khalek...
  18. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku iendayo kwa mungu. Tuseme wote asante mungu. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada,mdaa huu...
  19. Habibu B. Anga

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata kitabu changu cha "OPARESHENI ZA KIJASUSI ZILIZOFANIKIWA ZAIDI" Kitabu hiki kina kurasa 214 na...
Back
Top Bottom