NOTEBOOK: SEHEMU YA KWANZA
Mshale wa saa ulisimama kwenye 4 na dakika zake ,Carry alikuwa akijigeuza upande wa pil ili alale vizuri Ila mwanga wa jua ulionekana kumkera pindi ulipomchoma usoni, Carry alifumbua macho yake kwa tabu sana na kwa hasira juu ya mwanga ule alianza kujinyoosha taratibu...