Simulizi : Bahari Ya Hindi
Sehemu Ya Kwanza (1)
Ilionekana gari moja aina ya Mark II (old model) ya kizamani,ikipaki nje ya geti la kuingilia bandarini….wakashuka watu wawili,,Mwanaume mmoja na mwanamke mmoja,,watu hao walikuwa wanafanya kazi sehemu moja,katika kituo cha Habari,,,yule mwanaume...