sindano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Mliochomwa Sindano za COVID-19 mnaendeleaje?

    Kimsingi chanjo ya ugonjwa huu imethibitika ni vita vya Ukraine na Russia. Maana baada ya media kutuhamishia huko ugonjwa ukajifia. Nimejifunza kuwa mvumilivu na mpole maana dunia inaenda kasi na mambo mengi ni ya kubumba au kutengenezwa, ikiwemo magonjwa ya kutengenezwa. Ni hayo tu
  2. OCC Doctors

    Dozi kamili ya Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' kwa wajawazito

    Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20. Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16, Dozi ya...
  3. Miss Zomboko

    Liwale, Lindi: Wazazi huwachoma Watoto Sindano za kuzuia Mimba na kuwaweka Vijiti wanapovunja Ungo

    Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi amesema kumekuwepo na tatizo la wazazi wilayani humo kukwepa majukumu ya kuwasomesha watoto wao hali inayopelekea kuwachoma sindano za kuzuia mimba watoto wenye umri wa miaka 12 na kuwawekea vijiti watoto pindi wanapovunja ungo. Ameeleza "Mtoto...
  4. GENTAMYCINE

    Sitaki Kukosa Kipindi cha Raha za Uswahilini cha EFM Radio nimsikie Dada mwenye Sindano Ukeni iliyokuwa Ikimchoma kila Mwanaume Aliyemuingilia

    Kikubwa GENTAMYCINE nataka nimjue tu kwa Jina na ikiwezekana hata kwa Sura ili nisikosee njia Siku moja na Kumtongoza kisha akinipa Uume wako Uchomwe na Sindano iliyojicha Ukeni mwake bila ya Yeye kujua na Wanaojua ni Wanaume tu waliokuwa Wakimbandua. Asanteni EFM Radio na Kipindi chenu cha...
  5. Pang Fung Mi

    Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

    Wasalaam JF, Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄 Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike. Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu...
  6. Yofav

    Sindano ya kutibu U.T.I yadaiwa kumletea madhara mwanamke huyu

    Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada ya kuchomwa sindano ya U.T.I katika moja ya duka la madawa (pharmacy) linalopatikana mkoani hapo...
  7. GENTAMYCINE

    Japo leo ni siku yenu, sindano zangu hizi ziwaingie ili mbadilike kwa tabia zinazotuchosha wanaume

    1. Uvivu kitandani (kubaiolojika). 2. Uchafu hasa ule wa kutupa hovyo na kiholela taulo zenu za kike mitaani na uvivu wa kunyoa mapori yenu ya Kibaiolojia. 3. Kuibiana waume/mabwana kimakusudi. 4. Kuwa na VICOBA (mikopo) zaidi ya mmoja ila maendeleo sifuri. 5. Usiri wa maendeleo yako...
  8. mdukuzi

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  9. Sildenafil Citrate

    Lindi: Watoto wa miaka 8 wachomwa sindano za kuzuia mimba

    Baadhi ya wazazi wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wamedaiwa kuwalazimisha watoto wao wa kike kuchomwa sindano za kuzuia kupata ujauzito kitendo kinachowaweka hatarini kukumbwa na tatizo la utasa hapo baadaye. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma wakati wa mdahalo wa kujadili...
  10. M

    Sindano ya Anti D

    Habari wana jf, juzi kuna uzi ulipostiwa kuhusu sindano ya anti d, ila maelezo yalikuwa tofauti na nilivyoambiwa na dr. Maana shemeji yenu inabidi apate sindano hii mwezi huu ikiwa ni uzao wetu wa pili. Dr. Maelezo yake yalikuwa kwamba mimba ikifikisha miezi saba ( within 7th month_kwa ajili ya...
  11. ponerad

    SoC02 Uzi unafuata sindano

    Katika maisha yetu ya kila siku tumekua tukisikia au tukikutana na maneno kama haya kuwa Ukitaka kufanikiwa lazima uwe na vitu kimoja wapo kati ya hivi vichache kama 1: BAHATI 2: KIPAJI 3: ELIMU Ingawaje kitu kinachoitwa KONEKSHENI ni muhimu zaidi ya hivyo vyote. Tumekua tukisikia hadithi...
  12. M

    Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  13. Bongo Trust

    Wapi zinauzwa sindano za kushonea kapeti?

    Jamani wakuu naomba mwenye kujua zinakouzwa sindano hizi tuwasiliane ni sindano za kishonea makapeti. Nipo Korogwe Tanga
  14. Mdadamwema.

    Kuchomwa sindano yenye kutu

    Wakuu heshima kwenu, Nimechomwa na sindano yenye kutu, ilikuwa imechomekwa kwenye godoro nikaikalia imenichoma kiasi kwamba imeingia kama robo hivi, nilipoichomoa na kuangalia Ina kutu nyingi. Je, nahitaji kupata chanjo ya tetanasi au nipake nini?
  15. Miss Zomboko

    Algophobia: Hali ya kuwa na hofu isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Mwili (Mf. Kuchomwa Sindano)

    Ni hofu kali/isiyo ya kawaida kuhusu Maumivu ya Kimwili. Ingawa hakuna Mtu anayetaka kupata maumivu, walio na phobia hii wana hisia kali za hofu wakiwaza kuhusu Maumivu (Mf. kuchomwa Sindano) Huweza kuwaathiri zaidi Watu ambao wamepitia Maumivu makali ikiwemo Wagonjwa wa Saratani, wenye Maumivu...
  16. M

    Nimeanza kutumia PEP saa ya 38 tangu kujichoma sindano ya mtu aliyeathirika na VVU

    Habari wakuu Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
  17. A

    Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku. Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
  18. beth

    #COVID19 WHO: Uhaba wa bomba za sindano unaweza kuathiri harakati za utoaji chanjo barani Afrika

    Jitihada za Bara la Afrika kuwachanja Raia wake huenda zikaathiriwa na uhaba wa bomba za sindano. Shirika la UNICEF linakadiria Uhaba wa hadi Bilioni 2.2 Mkuu wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema mwaka 2022 Chanjo zitaanza kuja Barani humo kwa kiwango kikubwa, lakini uhaba...
  19. DaudiAiko

    CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

    Wana bodi, NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi...
  20. Kurunzi

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
Back
Top Bottom