Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
Chukua tahadhari binafsi kwa kuvaa barakoa kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko mikubwa isiyo ya lazima.
Tuendelee na mada.
Kwa siku kadhaa zilizopita nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya raia wakiuliza kuhusiana na uhalali wa chanjo ya Covid19 na...
Salaam wakuu,
Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu.
Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na kukimbia kwa woga.
Hivi ni kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.