singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Huwa najiuliza watu wa Singida na Dodoma huwa wanaishi vipi

    Natokea Kanda ya ziwa Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini Makazi duni, watu wanakaa mapangoni juu wameezekea tope yani nyumba unaingia halafu ndani Kuna pango...
  2. Pre GE2025 Shinyanga: Madiwani wapitisha pendekezo la Jimbo la Solwa kugawanywa mara mbili

    Wakuu, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamepokea, kujadili na kupitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Solwa, kuwa na majimbo mawili ya uchaguzi ambayo ni Solwa na Itwangi. Wamepitisha pendekezo hilo jana, Machi 11, 2025 kwenye Mkutano Maalumu wa Baraza la Madiwani, kwa ajili ya...
  3. Nahitaji mwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu singida

    habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni 1gram kwa tani hadi 5gram kwa tani inategemea ni duara lina urefu gani lkn maduara yanapata miamba...
  4. TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  5. Pre GE2025 Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu

    Katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani Mkoa wa Singida, imeunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za kupambana na matumizi ya nishati chafu na kuhamia kwenye nishati safi, kwa kutowa mitungi zaidi ya 29,000 kwa wanawake wa Mkoa wa Singida kwa bei nafuu ambayo ita...
  6. B

    Mwenyekiti CCM Singida Umekosea

    Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa. Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya...
  7. R

    Nimeambiwa nichague kituo cha kazi cha kudumu Tanga mjini au Singida mjini, Je nihamie wapi ?

    Wakuu habari zenu Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia...
  8. Kauli ya Ahmed Ali kusema " Adui namba Moja wa Simba ni Yanga, wa pili ni Singida" yamtia matatani

    Ahmed Ali alitamka kwamba adui wa Simba ni Yanga na wa pili Singida Kauli hii ni uchonganishi na inazua uhasama usio wa laZima Yanga na Simba wana upinzani na wala sio uhasama Upinzani wao ni Wa kimichezo Ahmed Ali anataka Yanga asiwe na mpinzani wa Simba wakati wako ligi 1 na wanagombea...
  9. Pre GE2025 Singida kusherehekea siku ya wanawake duniani kwa kugawa mitungi ya gesi

    Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni hatua kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia mkoani hapa. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima...
  10. Serikali ya Singida yaonya Wafanyabiashara dhidi ya kupandisha bei za vyakula kipindi cha Ramadhani na Kwaresma"

    Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya kujinufaisha kipindi hicho, kwa gharama kubwa ya wananchi. Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar...
  11. Pre GE2025 Hamis Lisu sina ubavu wa kugombea Ubunge wa Singida Magharibi, labda udiwani

    Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa mbunge wa sasa, Elibariki Kingu, ametekeleza vyema wajibu wake kama mwakilishi wa wananchi wa jimbo...
  12. Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  13. Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) yaondoa changamoto ya maji Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa ya Singida, baada ya kukamilisha mradi wa usambazaji wa maji katika eneo hilo. Mradi huo...
  14. T

    Singida tuchukue tahadhari ya Ugonjwa Kipindupindu

    Kumekuwa na taarifa za mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwenye baadhi ya mikoa nchini. Mkoani Singida jambo hili sijalisikia lakini ni vyema mamlaka wakachukua hatua ya kuhamasisha usafi wa mazingira na haswa kwny migahahawa ya chakula na wauzaji wa vyakula mtaani. Ukipita maeneo ya sokoni...
  15. T

    Pre GE2025 Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu

    Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kudumisha amani ya taifa. Aidha, wameeleza kuwa hawaungi mkono wanasiasa wenye kauli za vitisho na zinazoweza kusababisha...
  16. Singida: TAKUKURU yabaini upigaji, yafanikiwa kuokoa milioni 75.3 utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta za elimu

    TAKUKURU YABAINI UPIGAJI WA FEDHA SINGIDA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Singida imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 75.3, baada ya kufuatiliaji utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta za elimu. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya utendaji...
  17. Singida BS wamsagia kunguni Uchebe, wadai hakuwa na sifa za kuwa kocha mkuu wala msaidizi

    Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
  18. Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  19. Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”. Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
  20. Yanga kuifunga Singida Big Stars imekuwa nongwa.

    Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya Singida kufungwa na timu imara sana na hodari ya Yanga wachambuzi uchwara na wapenzi wa Simba wanahoji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…