Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic,
Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi.
Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo.
Wakizungumza kwa nyakati...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa maboresho.
Januari 30, 2025, Mwanachama huyo alisema hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua...
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha.
Wanakwenda na School bus zinaishia mbali kwasababu ya ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji...
Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania
Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana
Za chini ya kapeti ni kuwa watawang'oa watangazaji muhimu hapa wasafi media hasa timu ya Maulid Kitenge, Diva inasemekana...
Kuna watu wameanza kuleta hoja yakumtuhumu Mhe. Bashungwa kwamba ametoa uraia kwa wachezaji wa Singida. Nikiangalia aliteuliwa lini na toka ateuliwe anafanya nini naamini bado hana sahihi yake kwenye uraia.
Ndio kwanza anajitambulisha kwa taasisi anazoongoza . Naamini kwa umakini alionao...
Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Rasmi: Kibu Dennis ni...
Kuna tuhuma kwamba wachezaji wa mpira wa miguu wa Singida Big Stars wamepewa uraia wa Tanzania kukwepa wasilipe vibali vya kufanya kazi Nchini. Naamini hii ni skendo kubwa na Mamlaka ya NIDA au Uhamiaji zinapaswa kujibu la sivyo taarifa hizi zinaleta uchonganishi kwa serikali.
Sheria ya Uraia...
Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed Khamis Hamad, alisema, hii ni kutokana na watu kuwa na uelewa wa kuibua masuala ya uvunjifu wa haki za...
Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi ya 'Chuo Kikuu'.
Alisema na kuonesha picha pamoja na video na kuwa kuna majani yameota ovyo Chuoni...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali.
Nimepita usiku huu...
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Omari Toto amesema wameamua kumuunga mkono Lissu kutokana na Sera zake ambazo...
Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo.
Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine yakiwemo Kenya, Uganda Malawi kuja kufanyabiashara kwenye soko hili.
Jambo la kusikitisha ni kuwa...
Wahenga walisema "baraka inaweza kujificha". Siku chache zilizopita Simba ilienda Singida ikakutana na mechi ngumu ya kukamiwa. Walio nyuma ya Singida wakawaahidi wachezaji wao mapesa mengi.
Kilichotokea, wachezaji vijana wa Simba kina Ahoua walizidi kupata experience ya kucheza mengi ngumu...
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
Wakuu,
Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili.
Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa
1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi
2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.