singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Naiomba TAKUKURU imuite kocha wa Singida Black Stars na kumhoji anaweza kuwasaidia kujua nani aliagiza kikosi cha pili kianze leo

    Ukweli lazima usemwe mechi ya leo imetia aibu sana mpira wetu, wachezaji wa maana kabisa waliosajiliwa kwa mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kucheza mechi kubwa wamewekwa benchi halafu wanakuja kuchezeshwa akina Rashid Juma. Ukweli lazima usemwe kuwa Jana na juzi wachezaji walikuwa busy na...
  2. Matteo Vargas

    Kulikuwa na sababu gani Singida Black Stars kuanzisha wachezaji wengi wa kikosi cha pili wakati wachezaji kikosi cha kwanza wapo fit?

    Wakati najiuliza swali hilo hata mtangazaji wa Azam Sports Patrick Nyembera aliuliza wachambuzi wa Azam Sports swali hilo hilo. Lakini si mimi wala hao wachambuzi walikuwa na majibu ya kueleweka. Mbali na hilo licha ya kufungwa lakini Singida Black Stars ni kama walikuwa wanapoteza muda...
  3. M

    Yaani wachezaji wa Yanga jana wako harusini halafu leo wanawafunga kizembe namna ile, kwanini tusiamini kuwa nyie mko kimkakati zaidi katıka hii ligi?

    Timu yenu haifanani kabisa na mambo mnayofanya uwanjani, nyie mna wachezaji wenye quality ya kimataifa, nyie timu mkitaja kikosi tu watu hawaingizi timu uwanjani. Nyie mlitakiwa muwe mnaongoza ligi hadi ss tena mkiwa mbele kwa pointi 10. Mna wachezaji wazuri mno kuliko Yanga, Simba na hata...
  4. Waufukweni

    Singida yaanza bila nyota wake muhimu dhidi ya Yanga, Marouf Chakei hayupo Kikosini kabisa

    Wakuu Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex. Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu...
  5. Waufukweni

    Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

    Wakuu Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars. Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
  6. Dabil

    Singida Black Stars kuchezesha wazawa leo ili kupunzisha mastaa wao wa kigeni

    Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu. NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
  7. ngara23

    Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

    Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka...
  8. Rula ya Mafisadi

    Pre GE2025 Rose Mayemba: Kampeni ya "No reforms, No Election" haitakuwa rahisi

    Huyu Rose Mayemba Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA namfananisha na Kamala Harris wa Marekani hapa Mdee na Bulaya wakasome Nimesikiliza wanasiasa wengi sana hapa Tanzania na Africa huyu binti ni tunu na hazina ya Taifa. Rose Mayemba nimempenda bure huyu dada. === Mjumbe wa Kamati Kuu...
  9. Cute Wife

    Pre GE2025 Baada ya mahojiano ya kumchafua Lissu kugoma Generation Samia wafanya matembezi Singida kumshukuru Samia kwa fursa za uchumi!

    Wakuu, CCM mnapumulia mashine sasa hivi :BearLaugh: :BearLaugh: baada ya mahojiano na vikongwe kumchafua Lissu kubuma sasa mmekuja na matembezi. Yaani mnahangaika, moja haisimami mbili hailali🤣🤣, Lissu amewashika pabaya. ===== Umoja wa Makundi Mbalimbali nchini Tanzania Chini ya Mwamvuli...
  10. JanguKamaJangu

    TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  11. S

    SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  12. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida yakabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia Messos,akizungumza jana wakati wa hafla ya kutoa mikopo hiyo alisema baada ya dirisha kufunguliwa jumla ya...
  13. The Watchman

    Pre GE2025 Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu

    Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba serikali kutoa Sh.bilioni 2 ili kufanikisha ujenzi wa soko hilo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
  14. Roving Journalist

    Hatimaye gari la taka lapita kukusanya takataka mitaa ya Singida

    Februari 12, 2025, Mdau wa JamiiForums kupitia Jukwaa la Fichua Uovu alielezea kukerwa na tabia ya mamlaka zinazohusika na uzoaji taka mitaani katika Manispaa ya Singida kuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery, hatimaye taka zimeanza kuchukuliwa kutoka...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  16. kipara kipya

    Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

    Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa, Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
  17. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Dkt. Nchimbi achangisha Tsh. Bilioni 1.7 ujenzi Ofisi ya CCM mkoa wa Singida

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo...
  18. Roving Journalist

    Singida: Serikali yakiri Kijiji cha Dominiki kina changamoto ya maji, yaelezea mipango

    Siku chache baada ya Wananchi wa Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kulalamikia kuchota dumu sita hadi 12 ili wapatiwe huduma ya afya katika Zahanati ya Dominiki ikiwemo kwa Wanawake wanaotaka kujifungua kutokana na changamoto ya maji, Mamlaka husika imekiri uwepo wa changamoto...
  19. kipara kipya

    Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  20. Waufukweni

    Klabu ya Singida wamepokea kwa mshtuko na masikitiko kocha wao kutambulishwa Yanga

    Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu. Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa...
Back
Top Bottom