A
Anonymous
Guest
Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu.
Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo, Halmashauri zimekuwa hazitupi fedha hizo za kujikimu hadi leo, licha ya kwamba kwa utaratibu zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba.
Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Kwimba - Mwanza (Kada ya Afya) hatujalipwa fedha za kujikimu
- Ridhiwani Kikwete: Naelekeza Waajiri tengeni bajeti kuwalipa Fedha za Kujikimu Waajiriwa Wapya
Sasa ni zaidi ya miezi tisa tangu tuajiriwe, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuhusu malipo hayo.