KERO Stendi ya Misuna – Singida ina utaratibu mbovu, mabasi hayajali muda kuondoka kwa mabasi

KERO Stendi ya Misuna – Singida ina utaratibu mbovu, mabasi hayajali muda kuondoka kwa mabasi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari yako.

Tiketi tunazokata ni za elektroniki lakini hakuna kufuata muda licha ya uwepo wa traffic na viongozi, hii siyo kero ya siku moja, ni kero sugu.
 
Sasa hapo ukute umetoroka kazini halafu ukapanga matokeo mpaka alfajiri uwe umeshafika kudadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka Saa 7 gari haijaondoka utajikuta unagombana na Kila mkata tiketi!
 
Ishu ni kwamba mnakata tiketi gari likiwa halipo hapo stendi. Unakata tiketi gari liko mbali mpaka lifike hapo linakopitia ndio upande, huoni kuwa kuna muda utapotea? Ingekuwa gari linaanzia safari hapo malalamiko yangekuwa sahihi
 
Sasa hapo ukute umetoroka kazini halafu ukapanga matokeo mpaka alfajiri uwe umeshafika kudadeki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka Saa 7 gari haijaondoka utajikuta unagombana na Kila mkata tiketi!
I CAN FEEL THAT STRESS KWA MWAJIRIWA AU ANAYEKWENDA KWENYE USAILI
 
Back
Top Bottom