Wizara ya Maji
Govt Institution
- Oct 2, 2024
- 34
- 20
Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi kampuni ya Megha Engineering and Infrastructure, visima hivyo kukamilisha utekelezaji wa mradi wa maji wa miji 28.
Singida ni moja ya miji mitatu katika mkoa wa Singida inayonufaika na mradi wa maji wa miji 28.
Waziri Aweso ametoa siku 15 kwa mkandarasi huyo kukamilisha kazi ya usanifu wa mradi na utekelezaji kuanza mwezi Oktoba 2026.
View: https://www.instagram.com/p/Ddarx7DDeXJ/?img_index=1