A
Anonymous
Guest
Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, bado hawajalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapofuatilia na kuulizia malipo yao, hupokelewa kwa majibu makali badala ya kupewa ufafanuzi wa kina kuhusu lini stahiki zao zitalipwa.
Tunaomba mamlaka husika zilishughulikie suala hili kwa haraka, ziwalipe watumishi hawa fedha zao za kujikimu na zitoe taarifa sahihi kuhusu maendeleo ya malipo hayo.