singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi - Singida achunguzwe na TAKUKURU. Madaftari ya million 10?

    Ujumbe huu ukufikie wewe Rais wangu mpendwa pamoja na DG mchapakazi wa PCCB CP Salum Hamdun. Nibkuhusu DC Wilaya ya Ikungi Ndg Edward Mpogolo kugawa madaftari yenye thamani ya million 10. Inawezekanaje wakati huu wa Likizo DC anagawa madaftari tunayoambiwa yana thamani ya milion 10 kwa shule...
  2. Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

    Wadau habari za weekend! Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo. 1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular. 2...
  3. Msafara wa kiongozi wa serikali wawa kero Singida

    Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
  4. UKWELI UNAUMA: Jimbo la Singida Mashariki ni kama halina mbunge,Wanafunzi wanakaa chini

    Wakati maeneo mengi nchini wakiendelea kufaidi matunda ya kinachoitwa Elimu Bure/Elimu bila Ada, huko mkoani Singida Wilayani Ikungi kata ya Choda, Shule ya msingi Choda wanafunzi wanataabika kwa kukaa chini madarasani. Ni watoto wa wakulima na wafugaji ambao ni sehemu ya walipa kodi katika...
  5. Serikali Singida yakamata malori yenye tani 40 za mazao yasiyolipiwa ushuru

    SERIKALI mkoani Singida imekamata malori matano yenye magunia ya mazao mchanganyiko zaidi ya tani 40 yaliyokuwa yakipitia mkoani hapa bila ya kuwa na nyaraka zozote za kulipia ushuru. Kufuatia kukamatwa kwa shehena hiyo Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskas Muragili aliagiza...
  6. Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  7. Mbunge ahoji kuhusu maji Ikungi Mashariki. Spika Ndugai asema Jimbo lilitelekezwa na aliyekimbilia Ubelgiji

    Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji. Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema...
  8. Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi na sio Dodoma

    Kama kweli kigezo ni mkoa kuwa katikati ya nchi, basi singida ndio katikati na imeunganisha mikoa mingine mingi sana! Singida ilistahili kuwa makao makuu ya nchi hii na si vinginevyo Tazama ramani ujionee tunavyoina singida kupitia kona zote za nchi
  9. Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

    Simiyu, Iringa, Dodoma, Shinyanga, Arusha, Manyara, Tabora, Mbeya n.k. Point yangu ni kwamba makao makuu yalipaswa yawe Singida. Ukibisha bisha kwa facts. Wale wa picha hio hapo. Dodoma yenyewe imepakana na mikoa minne tu.
  10. U

    TANZIA Sheikh wa Mkoa wa Singida, Salum Mahami afariki dunia

    Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021 Tunatoa pole kwa wafiwa wote Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe Taarifa kwa mujibu wa Mufti Sheikh Aboubakar Zuberi Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha...
  11. Mfikishieni salamu mkuu wa mkoa (RC) Singida

    Naandika kwa masikitiko sana, Mimi ni mwenyeji wa Singida ila kishughuli naishi Dar es salaam najishughulisha na shughuli za ulinzi binafsi (bodyguard) hivyo huwa tunazunguka na wateja wangu sehemu mbalimbali (wanamuziki, wafanyabiashara, wanamichezo, wanasiasa nk). Moja ya sehemu...
  12. Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

    Hii hapa
  13. Nafasi ya kazi Singida

  14. INAUZWA Mafuta ya alizeti kutoka Singida

    Karibu Empire singida fresh oil Mafuta halisi kutoka singida Lita 1 -6000 Lita 3- 18000 Lita 5- 25000 Mawasiliano 0743725255 0655031983 arnoldmacha@outlook.com
  15. Mali iliyoko Singida ni utajiri kwa watu wake na Taifa

    Wakuu, Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida 1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege. 2. Zao la...
  16. K

    Natafuta ng'ombe wa maziwa Singida

    Habari za majukumu wanajamvi, Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba. Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo, Natanguliza shukrani.
  17. MichaIkungi Wamekaidi Agizo la Rais: Michango ya Elimu Bure inaendelea kama Kawaida na Wananchi Wanakamatwa, Wakiwemo Akinamama

    Katika Kijiji cha Makilawa, Kata ya Makilawa Jimbo la Singida Magharibi, Wananchi Wanakamatwa na Wanaliplpishwa Shs. Laki Moja (100,000/-) kila Mmoja kuchangia Ujenzi wa Sekondari. Muda huu Wananchi wengi wamekamatwa Wakiwemo akinamama na Wamefungiwa kwenye Ofisi za Kijiji hadi Walipe kiasi...
  18. Godbless Lema afutiwa mashitaka ya uchochezi huko Singida

    Waliomshitaki wameshindwa kuthibitisha mashtaka yao jambo lililopelekea Mahakama kuamua kumwachia huru . Ikumbukwe kwamba Mh Lema aliweka hadharani orodha ya watu waliouawa kinyama mkoani Singida kutokana na kuiunga mkono Chadema , hicho ndio kikawa chanzo cha kukamatwa na kushitakiwa ...
  19. Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhani Ighondu aendeleza mkakati wa kunusuru Elimu jimboni

    Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mhe Ramadhan Ighondo aendeleza mkakati wa kuinua elimu jimboni mwake. Amewaasa vijana kusoma kwa bidii ili kua chachu ya mabadiliko kwenye jamii. Kwa habari video picha ungana nami Mahanju.........
  20. N

    Karasha ya Wachina wafunga milango Singida

    Karasha ya kokoto ya Wachina hapa Singida hatimaye wamefunga kazi zao Ijumaa iliyopita wakidai kushindwa kutokana na kodi kubwa pamoja na tozo mbali mbali. Raia hao wa Kichina, waliajiri Watanzania 47 ambao wanarudi mtaani. Tukumbuke karasha ilikuwa inatoa ajira nyingine kwa waendesha malori...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…