Hii ndio taarifa iliyotufikia usiku huu, kwamba Mhamasishaji wa BAVICHA Twaha Mwaipaya na Katibu Mkuu wa Bavicha Mh Nusrat Hanje , leo wameachiwa huru na Serikali ya Tanzania , huku ikidai haina haja ya kuendelea na kesi hiyo, hii ni masaa machache kabla ya kusomwa hukumu ya maombi yao ya haki...