singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
  2. Kuahidi hizi teams pesa kunasababisha wapoteze attention. Hii game Singida walikamia sana wakaacha kucheza mpira

    Nadhani tunapotaka kuifunga simba sasa tuache kuwajaza ujinga wachezaji. Leo singida walipania sana game. Wakapoteza concentration wakabaki kucheza kwa nguvu bila maarifa. Angalau kipindi cha pili walitulia kidogo kuliko mwanzo. Nadhani tuwe tunawaacha wacheze kwa mipango ya kocha. Hii game...
  3. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dhidi ya Singida Big Stars

    1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi. 2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema. 3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda...
  4. Kumekucha, Singida Big Stars waahaidiwa Milioni 50 wakiifunga Simba

    Habari wakuu, Inaelezwa kuwa Bosi wa Singida Black Stars ameweka ahadi ya donge nono kama motisha kwa wachezaji ili waweze kumzuia mnyama kupata pointi tatu leo. Kigogo huyo ametoa ahadi ya Sh 50 milioni kwa wachezaji kama wataweza kuibuka na ushindi dhidi ya Simba.
  5. Pre GE2025 CHADEMA Shinyanga watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu kwenye Uchaguzi mkuu wa chama hicho

    Wakuu, Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA umeendelea kupamba moto ======================================== Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mkoa wa Shinyanga wamesema watamuunga mkono Tundu Lisu ambaye ametangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  6. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  7. M

    First Eleven yangu Simba ikiimaliza Singida Black Stars Jumamosi

    Singida sio siri wana wachezaji wa hatari kuliko hata Azam, ila kama Fahdu atanipangia hivi hawa wapuuzi wanakufa vizuri tu Soma Pia: Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars 1 Pin Pin Camara 2. Kapombe 3.Tshabalala/Nouma 4.Hamza 5. Che Malone 6...
  8. Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  9. SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  10. Mbunge Martha Gwau Awagusa Wanawake wa Singida DC & Ikungi kwa Majiko ya Nishati ya Gesi ya Kupikia

    MBUNGE MARTHA GWAU AWAGUSA WANAWAKE WA SINGIDA DC & IKUNGI KWA MAJIKO YA NISHATI SAFI YA GESI YA KUPIKIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni...
  11. Ajali: Basi la Asante Rabbi lagonga Canter maeneo ya mzani wa Njiku Singida usiku huu

    Tumepita sasa hivi hapo, Basi la Asante Rabbi linalofanya safari zake Arusha Mwanza, limegonga Canter baada ya dereva wa basi hilo kujaribu ku-overtake. Mtu mmoja mwanaume amelala chini pembezoni mwa ajali huku akiwa hajitambui. Maafisa wa jeshi la polisi wamefika eneo la tukio. Taarifa zaidi...
  12. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  13. Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
  14. M

    KERO Wananchi wa Unyianga Singida na shida ya maji

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na kuwekwa mabomba ifanyike lakini hadi leo hatujawahi ona maji yakitoka. Tulijengewa tenki la maji na...
  15. Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

    Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine. Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama. Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
  16. Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  17. Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  18. R

    LGE2024 Mwenyekiti wa Kitongoji alieshinda (Chadema) atimuliwa kwenye kikao cha WDC Iramba, Singida

    Waungwana salaam, Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari. Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao...
  19. Serikali yaanza maboresho ya Vyoo vya Kituo cha Afya cha Sokoine, Manispaa ya Singida

    Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira mazuri. Uamuzi huo unakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu ubora wa choo...
  20. M

     Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Singida yasafishwa

    Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Singida ambavyo siku kadhaa nyuma viliripotiwa kuwa ni vichafu sana vimesafishwa. Nimepita eneo hilo na sasa angalau wakati huu ukiingia maliwato hayo ya Umma yanaleta unafuu wa kutumia tofauti na ilivyokuwa awali. Tunaomba wahusika hii isiishie hapa, usafi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…