single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

    Habari zenu, Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother. Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.? Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo...
  2. T

    Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

    Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa. Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi...
  3. sonofobia

    Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu. Akimpenda sana bwana wake atazuia...
  4. DR HAYA LAND

    Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  5. Surya

    Niliwahi kupendwa na single Mother

    Kabla sijasema hili la kwanza la kupendwa na Single mother, niseme kwamba, mimi ndie yule ambae niliwahi kukataliwa na single mother. Mambo ni mengi sababu ni nyingi.. Lakini soon nataka niandike uzi kuhusu Ndoa na Mahusiano, kuna mambo wanaume tunatakiwa kuwekana sawa. Naamini mtazamo wangu...
  6. Kifurukutu

    Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Wakuu Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo...
  7. M

    Logical Reasons Why You Should Never Date a Single Mother and Marry Her

    When it comes to love, everything else doesn’t matter. That’s why you can fall in love with a single mother. Since her good heart is everything you need, you don’t care even she already had children. But if you want to get things more serious with her, you might find out the reasons why you...
  8. Lamzettttt

    Maana ya Single mother

    Salaam wakuu.... Katika pita pita zangu kwenye machapisho mbali mbali kwa mara ya kwanza ndio nimejua maana ya single maza kwamba Single =ina simama kwamba mwanamke huyu yuko single na hayuko kwenye mahusiano na Mother=inasimama kama mwanamke huyu anamtoto. Kwahiyo singo maza kitafsiri ni...
  9. Moronight walker

    Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
  10. Pang Fung Mi

    Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

    MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake. Kisa Kiko hivi...
  11. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  12. Amaru

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
  13. Pang Fung Mi

    Ukiwa kwenye mahusiano na Single Mother anaejitambua hata kama hutamuoa yeye hakika utapenda uoe uwe na mke

    Salamu jamii, Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu. Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini. Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata bahati ya kuwa na mahusiano na Single Mother anaejitambua hakika hata kama hutomuoa yeye basi iwe...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Binti yangu, ni Akheri uwe Single mother kuliko uishi na Mwanaume mpumbavu

    BINTI YANGU; NI AKHERI UWE SINGLE MOTHER KULIKO UISHI NA MWANAUME MPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Baba na Mume. Kama vile Mimi Taikon, Nyota ya Tibeli nisivyoweza kuishi na Mwanamke mpumbavu, hata angekuwa Mama yenu, vivyohivyo nilimuambia Mama yenu kuwa kamwe asijevumilia kuishi na Mimi...
  15. D

    Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

    Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed! Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini! Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana! Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single! Hata...
  16. RaiaMbishi

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  17. Barieda

    Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Wakuu kwema, Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto). Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye...
  18. Surya

    Natokea kuwapenda single mother lakini hawanitaki

    Niliwahi kuandika uzi hapa kwamba nimelizwa na mapenz, aliyeniliza alikua single mother. Nilimpenda na nikatamani kumbadilisha vitu vichache ili awe wangu wa siku zote lakini nilishindwa kwa sababu hata yeye hakuwa tayari. Kiukweli mapenz yalikua moto lakini niligundua hakua tayari kuwa na...
  19. R

    Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

    Habari jf mimi nina umri wa miaka 40 sasa, ni member wa jf mda tuu ila nimekuja na id hii mpya kuleta kisa changu kilichonikuta na uhamuzi niliochukua. Mimi ni mmoja wa wapondaji sana wa single mother humu jf coz yalinikuta mwenzenu. Nitajitahidi kuelezea kwa ufupi. Mwaka 2009 nilikutana na...
  20. K

    Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
Back
Top Bottom