single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. October 2pm

    Raha ya single mother akupende mwenyewe, tatizo mnafosi

    Niseme nisiseme! Tatizo lenu mnadandia dandia Wanawake hovyohovyo alafu mkija kupigwa za uso mnaanza kutukana Single Mother, Wanawake ni walewale, ukijichanganya wanakufanya kitu mbaya. Huyu single mother kiukweri amenipenda mwenyewe, she is my body, Sio kulazimishana. Mtasubiri sana... Sijui...
  2. October 2pm

    Hakuna wakunitoa Kwa huyu single Mother

    Mpo poa! Nasema hivi hamnibandui ng'oo Kwa huyu mtoto. Sijawahi kukutana na Mwanamke mwenye mapenzi matamu kama huyu. Endeleeni kupiga kelele Watoto wa elfu mbiri. I'm out
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua. Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother? Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers? Hebu tujaribu...
  4. M

    Wanaume tuongee na Madaktari

    Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani. Madaktari Madakatari Madaktari.... Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi? Au mmeamua kutukomesha? Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake...
  5. DR HAYA LAND

    Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

    Single mother ni zao la Uzinzi. Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
  6. Iziwari

    Nini kifanyike kuwepo kwa single mother

    Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanawake wanao lea Watoto wenyewe katika jamii zetu. Sio kwamba ni sifa mbaya lahasha, bali ni moja ya mfumo unaoanza kuzoeleka na kufanywa kuwa kama ndio mfumo wa Maisha. Na nikisema wanalea wenyewe namaanisha bila kuwa na baba kama msimamizi. Lengo kuu la...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)

    NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER" Na, Robert Heriel Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume. Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa. Ndio maana hata...
  8. D

    Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Wakuu Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa Huyu mchumba wangu...
  9. S

    Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Mbinu ya kivita nawapa ukitala kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye
  10. Equation x

    Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

    Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika. Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita na walifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume; ambao kwa sasa mmoja ana miaka 13 na mwingine 9...
  11. G.Man

    Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Habari MMU Niaendee moja kwa moja na hoja yangu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati...
  12. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  13. sky soldier

    Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

    Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili. Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
  14. Lububi

    Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  15. kwisha

    Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Hallo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto? Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka...
  16. Lavit

    Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

    Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃 Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
  17. M

    Niwatie moyo "single mothers"

    Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake. Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe...
  18. BradFord93

    Siku hizi kubambikiwa ujauzito imekuwa kawaida

    Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
  19. Tajiri Tanzanite

    Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

    Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu. Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na...
Back
Top Bottom