single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

    Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja. Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza...
  2. Jamii tusiwasakame wanawake ambao hawajaolewa na wako single

    Mimi binafsi yangu siwez wasakama wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa naamin kwa fikra na hisia zao hawajapata mwanaume ambaye sio bora tusiwasakame na kuwachukulia kama ni wakosaji wakubwa sana Wengi wao ni victim wa hisia yaan wale ambao hawana hisia nao ndo wanaume wakufanya nao...
  3. Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  4. Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
  5. Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

    Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na...
  6. H

    3 years ago today, Dua Lipa released 'Break My Heart'

    3 years ago today, Dua Lipa released Break My Heart as the third single from 'Future Nostalgia.'
  7. H

    14 years ago today, Lady Gaga released “LoveGame” as a single from ‘The Fame’

    14 years ago today, Lady Gaga released “LoveGame” as a single from ‘The Fame.’ The track was praised for its now-iconic “I wanna take a ride on your disco stick” hook. It reached the top 10 in various countries, peaked at #5 on the Billboard Hot 100 and is certified 3x Platinum by Recording...
  8. Trend ya single mothers wasomi kuwa na mtoto moja pekee, ni athari gani mtoto hupata akiwa hana kaka, dada ama mdogo wake.

    Na hii nimeifanyia research kutoka kwa mabinti wengi waliohitimu chuo, wapo wengi wana mtoto moja tu huku baba akiwa hayupo aidha kwa ndoa kuvunjika (ni kawaida kwa mabinti wasomi) ama walizaa kabla ya ndoa baba kala kona. ni effects zipi mtoto anapata akiwa hana dada kaka wala mdogo wake ?
  9. Hizi ni baadhi ya athari za malezi ya single parents

    Watoto wanaolelewa na ma-single parent, either wanaoishi na wakina baba tu au wakina mama pekee wanajazwa chuki na malezi yao yanakosa mlinganyo mzuri. ============================== Salamu, kwa walionizidi umri nawapa salamu yangu ya heshima, kwa wengine itoshe kusema habari za saizi. Kabla...
  10. Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

    Habari wanajukwaa, Moja kwa moja kwenye mada. Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua. Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
  11. Single Again, shikamoo Harmonize

    Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana
  12. M

    Wanaume tuongee na Madaktari

    Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani. Madaktari Madakatari Madaktari.... Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi? Au mmeamua kutukomesha? Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake...
  13. Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

    Single mother ni zao la Uzinzi. Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
  14. Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

    Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume) Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
  15. Wadau nimeshanasa Kwa single mazeri

    Nianze tu kwa kusema,Mimi ni miongoni mwa watu ambao ni against single mothers,lakini wahenga walisema "usitukane mto kabla ya kuvuka mamba"..huyu single mother ni mzuuuri balaa, yuko fresh kila idara ana Mt*ko wa kwenda,kasura sasa kama beyonce huyu hapa..kwenye mapenzi ndo usiseme,hapa ndo...
  16. Amri kumi za kukumbukwa kwa mabinti wote ambao hawapo kwenye mahusiano Duniani

    1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa. 2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume. 3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia. 4...
  17. Single men and women are not good enough to keep pace with good partners, don't blame just regret for your filthy habits

    Hi guys, recently we have had an alarming and intensifying number of single men and women in our society, this has suspiciously and partly been accounted by their bad habits/dubious manners that has hampered them from keeping pace with their good and blessed partners. Most of these singles...
  18. C

    Idadi ya 'single parents' itaongezeka zaidi

    Kwa mtazamo wangu, ninaona miaka 10 ijayo idadi ya single parents itaongezeka mara dufu ukilinganisha na kipindi kilichopita kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma. Kwa miaka hiyo, wanandoa walikuwa wanapatana kuishi pamoja hasa baada ya kupendana. Dhana kuu ya umoja wa ndoa ilikuwa ni kuishi bila...
  19. G

    Nauza au kukodisha Pick Up Nissan Single Cabin usajili ni DBW

    Nauza au Kukodisha pick up Single cabin Imenunuliwa 2014 ikiwa mpya kutoka South Africa. Namba ya Usajili T4....DBW Kwa Yoyote atakaye hitaji napatikana kwa 0767 848423
  20. Nini kifanyike kuwepo kwa single mother

    Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanawake wanao lea Watoto wenyewe katika jamii zetu. Sio kwamba ni sifa mbaya lahasha, bali ni moja ya mfumo unaoanza kuzoeleka na kufanywa kuwa kama ndio mfumo wa Maisha. Na nikisema wanalea wenyewe namaanisha bila kuwa na baba kama msimamizi. Lengo kuu la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…