sinza

Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  2. Roving Journalist

    Anayetuhumiwa kumlawiti mtoto katika Vyoo vya Kanisa - Sinza, asema “Sina lolote, naiachia Mahakama”

    Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa, jana Machi 3, 2024 shauri hilo limetajwa, ambapo alipopewa nafasi ya utetezi amesema hana lolote la...
  3. PSL god

    UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

    Za alasiri wana jf, Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu nzuri, rangi nzuri, sura nzuri yaani ni hatari wakuu Kwa wale mabaazazi mnaotafuta vifuta jasho then...
  4. R

    Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

    Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini, tupeane madini please. Huku wengine tunawahi kuamka kwenda makazini, vibaruani, madukani, maofisini, n.k. kuna wenzetu wenye frem Sinza wanaamka saa tatu jua lishachomoza Maduka yanafunguliwa saa nne hadi tano, ajabu vitu vinavyouzwa ni...
  5. Hharyson

    DESIGN AND BUILD SERVICES KARIBU TUKUTIMIZIE NYUMBA YA NDOTO YAKO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM +255624004650

    NUNUA VIFAA TUKUJENGEE WEW UKITULETEA VIFAA UNA RELAX TUNAKUKABIDHI KAZI YAKO CALL US TODAY 0624004650
  6. Hharyson

    DESIGN AND BUILD SERVICES KARIBU TUKUTIMIZIE NYUMBA YA NDOTO YAKO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM +255624004650

    we do building design and construction call/whatsap +255624004650 instagram mkuzibuilders
  7. Yoda

    Hospitali ya Sinza Palestina ina uhusiano gani na Palestina?

    Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
  8. Mhaya

    Wapalestina wa Sinza mbona hamsemi "PRAY FOR DRC"

    Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini mtandaoni mpo kimya kama sio nyie mliokuwa kila siku mnaandika mabango Pray for Gaza, lakini Leo...
  9. JanguKamaJangu

    DOKEZO Jamanii Shule ya Msingi Sinza ni chakavu, madarasa yamebomoka na Ofisi ya Walimu nayo imebomoka

    Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...
  10. USSR

    Goba soon itakuwa kama Sinza na Tabata

    Ilianzia njia nne kuelekea Madale bar zimepangana kila nyumba mbele bar na zote zimejaa magari ya maana na watoto wazuri huku mziki mkubwa wa bendi na vijana na nyingi hukesha aka night club. Ukianzia njie nne kulekea Masanja nako ni vile vile hata ukiingia ndani ndani kidogo hali si shwari...
  11. Z

    Nataka kuanza Maisha maeneo ya Sinza

    Wakuu habari By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza). Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi. Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo 1. Sinza Kivulini 2. Lufungila hadi kwa mama ngoma 3...
  12. Bosspraise

    Sinza kijiweni old house for sale

    Nyumba na Kiwanja Vinauzwa – Sinza Kijiweni Nyumba na kiwanja chake vinapatikana Sinza Kijiweni, karibu kabisa na barabara ya lami. Ukubwa wa eneo ni sqm 338 na hati ipo tayari, unachohitaji ni kubadilisha umiliki tu! Bei ni Milioni 250. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi: 📞 +255742892195...
  13. Alex Hamadi Hamis

    Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  14. Melki Wamatukio

    Picha: Amesema kama nampenda tushone hivi kwa gharama zake halafu twende kwao Sinza kwa miguu

    Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka kimahusiano niwe tayari kuvaa hivi kwa gharama zake, kisha tutoke Kagera hadi Sinza kuanzia saa 10 jioni...
  15. Bosspraise

    Sinza plot for sale

    Nyumba na Kiwanja Kinauzwa – Sinza Kijiweni 🌆 📍 Mahali: Ipo Sinza Kijiweni, karibu kabisa na barabara kuu ya lami. 📐 Ukubwa wa Eneo: Square mita 338. 💵 Bei: TZS 250 Milioni. 📄 Hati: Ipo tayari. 📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi: 0742892195 🏢 Ofisi yetu ipo Sinza Palestina. #NyumbaInauzwa...
  16. Teslarati

    Sinza (Sin city) special thread: Burudani, Vimbwanga na Starehe unazoweza kuzipata

    Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa. Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi. Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki. Kama ni...
  17. Selemani Sele

    Riwaya: Baamedi wa Sinza Mori

    BAAMEDI WA SINZA MORI BY SELEMANI SELE NO 1. Maisha n safari na huwez jua kesho yako mungu kaipanga kwa namna gani. Naitwa marry nimezaliwa mm na mdogo Wangu wa kiume pekee,nilipofika kidato cha tatu baba alifariki na wakati huo mdogo wangu alikuwa darasa la sita. Kiukwel maisha ya nyunban...
  18. Melki Wamatukio

    Wamiliki wa fremu Sinza zenye tisheti mbili tu na kiyoyozi, tunaombeni siri ya urembo

    Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu hiyo amechili tu akiwa na smartphone yake anaperuzi, muda huo meno nje nje. Nje imepaki BMW Unaamua...
  19. technically

    Biashara za Kinondoni na sinza

    Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1 Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
  20. Pdidy

    Hizi hotel za Sinza ukilala unasikia kama vishindo vyumba vya pili n marekebisho ama?

    Umaweza shangaaa kama n mara ya kwanza. Ila najiuliza mbona n endelevu Wengine wanakimbia kuja kupimzisha kichwa wa enjoy watoe stress Ajabu ikifika saa saba mpaka 10 ama.11 asbh yaan unaskkia kulia vyumba vinapiga kishindo nkajua marekebisho Hee ¹ 11 mpaka moja asbh na sikia upande wa pili...
Back
Top Bottom