Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.
Hili tawi nimekuwa nalitumia kutokana na urahisi wa shughuli zangu ila kwa kweli lina huduma mbovu
Kuna madirisha ya teller zaidi ya 6 ila kila siku unakuta yupo mmoja wakizidi wawili
wakati Upande wa customer care unakuta wamejaa wakutosha
Huduma za tawi hili kama za wakala tu
Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka.
Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia.
Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo.
Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari?
Pichani ni Water Front Shopping Mall, Cape Town, SA
Kwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya.
Sinza na Kinondoni ni kata mbili tofauti zilizopo katika mkoa wetu mzuri wa Dar es salaam.
SINZA ambayo inatambulika kuwa kwa wajanja, ipo katika wilaya ya Ubungo na ni miongoni mwa maeneo yenye starehe nyingi na kubwa hapa Dar es salaam. Sinza...
Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini.
Inadaiwa...
Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini.
Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
Sinza kuna mashoga wengi kwa sababu aina ya maisha ya kule yapo juu sana.
Kumbi za starehe zipo kila mtaa na zinapiga siku zote j
Jumatatu mpaka Jumatatu yani hamna kupoa
Vijana wanatafuta kila namna wavimbe kila siku ndo utakuta wengine wanakuwa matapeli wengine wanakuwa machawa wengine...
Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022
Kwa maelezo ya...
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel.
Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa.
Karibu kwa mawasiliano
0672037238
Sitaki kulaumu Serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Hello wakuu.
Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single
Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi.
Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari.
Msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.