Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.
Kama huwa unapita pita hii road ya Mbezi - Goba hadi Massana utakubaliana namimi kasi ya ujenzi wa maeneo ya biashara katika standard nzuri ni kubwa sana, na tayari pande hizi zinawatu wengi sana kila siku biashara zinafunguliwa na maeneo tofauti ya bata tangu mwaka huu uanze. Miaka miwili tu...
Gari iko njema tu, changamoto ni AC na ringi za kubadilisha.
Njoo na hela ya boss, milioni tatu,
Dalali nipe laki 1 inatosha. Nipo hapa Simiyu, Bariadi nipigie 0713096076 nikuunganishe na mwenye gari
Habari wadau..!
Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho.
Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza .
Ila sasa nina familia...
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Mauaji yaliyotokea hivi karibui katika eneo la Sinza ndani ya Lemax Bar yaliyosababisha vijana wawili kupoteza maisha baada ya marehemu aliyekuwa anamiliki bastola huku akifanya mambo ambayo ni kinyume na kanuni na tataratibu wa umiliki mpaka kufikia kitendo cha kuua na kujiua
Kwanza nianze...
Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new!
Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
Salamu
Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo.
Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost Mji mzima haukuwa na maji.
DAWASCO mpo wapi? Waziri...
Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa.
Mkuu fuatilia hawa watu hapa kuna sintofahamu kwa sababu taarifa tulizo pata ni kuwa zile pesa za fidia zilihamishwa toka...
Ni jambo jema.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.