sinza

Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
  2. Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

    Msako uliofanyika Ubungo Riverside unaendelea Sinza. Nadhani muda wa kwenda viwanja mbali na maeneo ya uyu Mkuu wa Wilaya. Hapa naona ni mitaa ya Vibe Lounge (zamani Corner Bar) Sinza Mori.
  3. Mtazamo wangu: Kuishi Sinza kunaweza kukuharibia maisha

    Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF, Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko Hasi, Mazingira au Eneo Unaloishi Linaweza Kuchangia Kubadili Tabia/mwenendo wako Hasi Au Chanya Jamii...
  4. Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

    Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA. Kuna kiki za kulazimisha zisizo na msingi. We umekamata danguro umefunga bar zinakuhusu nini. Otherwise pale Mwananyamala hospt lile...
  5. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  6. Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
  7. Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi. Siku hizi Tabata unakutana na Small...
  8. Tukio la Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kudaiwa kumlawiti Mwanafunzi, Padri asimulia kilichotokea

    Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama Mwokozi - Sinza, Padre Josephat Celestine Muhoza amesema kuwa Kanisa lao lina taarifa kuhusu tuhuma za mlinzi wao mmoja anayetambulika kwa jina la Baraka kudaiwa kuhusika na tukio la kumlawiti Mwanafunzi wa darasa la Tano mwenye umri wa...
  9. DOKEZO Madai ya Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza kumlawiti Mwanafunzi, mama wa Mtoto aomba Serikali imsaidie

    Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini Dar es Salaam, kuna mwendelezo wa taarifa hiyo. Andiko hilo la awali lipo hapa - Serikali imsaidie...
  10. Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Wasalaam Wataalam wa Darisalaam, Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini? Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota. ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
  11. A

    DOKEZO Sinza kila nyumba ni kama JALALA. Walioshinda zabuni ya kuondoa taka/uchafu ni kama wameshindwa

    Wakazi wa Sinza tunawaomba uongozi wa juu kuchukua hatuola stahiki kwa uongozi ulipo sasa kuanzia ngazi ya Diwani kuja hadi serikali za mitaa kwakuwa wameshindwa kusimamia zoezi la uzoaji taka majumbani kwa ukamilifu. Tangu mwezi wa 11 mwishoni 2023 hadi leo kuna maeneo mfano Sinza c uchafu...
  12. Ila biashara nyingine Sinza zinachekesha sana

    Naomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano. Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto Baada ya miezi...
  13. O

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
  14. T

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza. Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke. Kwenu...
  15. Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  16. Z

    Msaada: Anayefahamu Taasisi ya British Contact limited lipo Sinza, linajihusisha na nini?

    Wakuu naomba kuuliza anaefahamu fika hili shirika/taasisi ya British contact limited lipo sinza. Je, linajihusisha na nini haswa? Na je mishahara kwao ni uhakika?
  17. Maputo style au Sinza combine

    Kama vile ujenzi wa kuficha paa ulivyo mashuhuri sikuhizi, kwa wengi kuficha paa kunaokoa gharama za mabati. Sinza combine ilikua ni muokozi wa gharama za mabati miaka ya 1990. Ujenzi huu ukianza kuwa maarufu baada ya askari wetu walikokwenda kusaidia harakati za ukombozi za Frelimo huko...
  18. Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

    Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo. Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4. Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa...
  19. Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

    Hellow Africa, Kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu. Sinza nowadays unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu...
  20. B

    Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…