Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...