Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
SIRI IMEVUJA
Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundu Lissu kuvuruga uwekezaji.
Kamati kuu ya...
Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi .
Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
Kuna kaukimya fulani kanatawala hapa nchini kwa watawala wa chama cha mapinduzi kujitenga kabisa na kile kinachotokea mahakama za kimataifa.
Magufuli nakubaliana naye kwamba alichokifanya yeye ilikuwa kutuondoa kwenye hii mikataba ili tuanze upya na mikataba yenye manufaa kwa umma. Wakati huo...
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe.
Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
Kijana Simon Nyamsika (30) mkazi wa sabasaba mjini Lindi, amelazwa katika wodi ya uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kwa kile kinachodaiwa kuwa amekata sehemu zake za siri kwa kitu chenye ncha kali na kuiondoa kabisa sehemu hiyo
Taarifa inasema kijana...
Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni:
1. Kuwa na nidhamu na pesa,
2. Kuwa na marafiki wa kukujenga,
3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii,
4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo.
Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana...
Mimi naamini zile enzi za mikataba ya kisiri ya serikali na wafanyabiashara tofauti kama Rostam umepitwa na wakati.
Sababu ni hii siri zilizokuwepo huko nyuma zilikuwa kwasababu mikataba ni mibaya na aibu kwa jamii. Sasa tumefika sehemu ambayo hata mikataba mibaya bunge letu linapitisha wazi...
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka...
Friends and Enemies,
Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa.
Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
Katika utafiti wangu juu ya chanzo cha muungano wa Tanganyika na Zanzibar na mapinduzi 'matukufu' au matukutu au mavamizi ya mwaka 1964, nilibahatika kusoma andiko la mtafiti James R Brennan lenye kichwa
Lowering the Sultan’s Flag: Sovereignty and Decolonization in Coastal Kenya (2008) ambapo...
6 secret code
Ugomvi mkubwa katika kila mahusiano ni kushindwa kushirikiana, na sababu ni umimi au ubinafsi ambao utachukua mimba na mimba ikiisha kukomaa huzaa Magonvi makubwa na mwisho kutengana.
Onyesha uzuri wako na umalidadi wako utapendwa na kila mtu, muovu na apendane na muovu mwenzie...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake.
Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...
Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William.
Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza.
Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
Kunatafutwa namna ya kusema wananchi waliunga mkono.
Wananchi wana ambiwa watoe mawazo kuhusu ubinafishaji bila kuweka wazi mkataba sasa mawazo yao hasa ni ya nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.