siri

  1. K

    Mzoefu wa kuajiriwa migodini, naomba siri ya mishahara kama Afisa Mazingira au Afisa Jamii

    Naomba kuulizxa kwa range yamsihshara kwa maafisa afya, mazingia au maafisa jamii wanaoajiliwa migoding range yasalary ni sha ngapi? Je, kunamalulupu gani ya ziada? Je, maisha ya kufanya kazi migodini kwa nafasi hizo ukilinganisha na kufanya kazi kwenye NGOs wapi bora? Naomba ushauri.
  2. GENTAMYCINE

    Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  3. 0

    SoC02 Maisha na siri zilivyojificha

    Kwenye maisha kuna vitu vinakuja na kuondoka wakati tukiwa bado tunavihitaji, pia kuna wakati unapaswa kufanya maamuzi magumu kwa ajiri ya mtu mwingine, haijarishi yatakuathiri kiasi gani. Lakini hiyo ndio maana halisi ya maisha na utu. Nitawapa kitu kilichotoka kwenye shajara yangu. Ilikuwa...
  4. M

    SoC02 "Nani kama MAMA" kauli yenye ushindi mkubwa mno kwa mama aliyelea peke yake wenye siri kubwa mno kwa kizazi kijacho

    Dhamira yenye Matunda ya kheri huifanya dira iwe na muelekeo wenye matokeo chanya, naweza nisieleweke vizuri lakini wote tunakubariana kwamba panapokosekana amani pana kilomita nyingi ili kuufikia Upendo, umbali Kati ya amani na Upendo kati ya baba na mama waliotengana huweza kuwafanya wamama...
  5. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Mke / Mchumba wa Mtu akijua unajua Siri zake za Mpango wa Kando atahangaika mpaka ufanye nae Mapenzi?

    GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na wasiwasi nitakutunzia Siri zako hizo lakini bado huamini na unahangaika kwa kila namna Kunitega ili...
Back
Top Bottom