1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote.
2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako.
3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako.
4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa.
5. Kamwe usitangaze jinsi ulivyoelimika.
6. Usizungumze kuhusu akaunti yako ya benki na salio.
7...
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja...
Na Chacha Wangwe Jr
Maelfu ya watanzania wanaojitokeza kumlaki Rais Samia Suluhu Hassan katika ziara yake Mikoani ni jambo la kuvutia lakini inapaswa ieleweke kuwa haya ni matokeo ya uchapakazi wake. Tuangazie mambo machache yanayopelekea Rais Samia kupendwa sana Mkoani Kigoma na Kagera;
1...
Mtaalamu Albert Einstein kaacha maswali mengi kuliko majibu kupitia Three dimension (3D) theory, Einstein anasema kwamba kitu chochote kinachokwenda katika mwendo kasi kitaloss gravitation na kucover large space at short time.
Na Ndipo hapa suala la space and time linaleta sintofahamu. Ukitumia...
Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto?
Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia, wanacheza mpira wa nafasi, kuachiana nafasi ufundi unatawala.
Simba ni zaidi ya hatari endapo...
Grace Tendega ambaye ni kati ya Wabunge 19 waliovuliwa Uanachama na chama hicho alitoa ombi hilo mbele ya Jaji Cyprian Mkeha ambaye alimjibu kuwa anatakiwa kujibu maswali kama anavyoulizwa na sio nje ya hapo.
Wabunge hao walifika Mahakamani kuhojiwa kuhusu ushahidi wa Malalamiko ya Viapo baada...
SIRI YA KUISHI MIAKA MINGI YA KHERI DUNIANI!
Anaandika, Robert Heriel
Baba.
Tena Sisi tuliowatoto wa Baba asiyeonekana, tukawa Baba wanaoonekana ili tuweze kufanya yaliyo mapenzi ya Baba yetu aliyemkuu Yule asiyeoonekana na kamwe ambaye hatokuja aonekane. Basi nisikilizeni Wanangu.
Kwa maana...
George RR Martin huenda akawa muandishi wa muda wote duniani.
Msipaniki… HUENDAAAAA….!
Series ile pendwa ya muda wote, Game of Thrones, ikitokea kwenye vitabu kadhaa vya G RR Martin. Series ambayo baada ya wabongo kuishtukia utamu wake, ilikuwa ikioneshwa kwenye club za Masaki huko per season...
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli.
Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli baada ya Kabudi kudai madai yale ya kodi ya zaidi ya trilioni 30( kwa mujibu wa kamati ya...
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022.
Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga.
Ruto...
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.
======
The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according...
Watu wa Simba kuweni makini na huyu mtoto Ahmed Ally atakuja kuwagharimu, tunza hii thread mtakuja kuthibitisha ninachowaambia Leo.
Mwenye macho na aone ugomvi wa Barbara na Manara ni kuvujisha siri, ila Kwa huyu Ahmed Ally Kwa utoto wake msiruhusu ashiriki vikao vyenu nyeti mmekwisha...
MAISHA HAYANA FORMULA LAKINI YANA SIRI NYINGI! ANGALIA HIZI 11, KAMA ZITAWEZA KUKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza "connection" na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha Kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate...
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa...
Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo:
1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani.
2...
Mbele ya macho yako mkeo ni mtakatifu sana, hana kasoro wala dosari hata moja. Ni msafi, ana heshima, ana wajibika vyema, ni mbunifu na mburudishaji wako mzuri kitandani.
Ratiba zake zote unazijua, na simu yake haina password. Lakini wahenga walishasema, moyo wa mtu ni msitu mnene, amini...
Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea.
Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa.
Yule mzungu pori ndio alikuwa akivujisha siri za chumbani
Nitauzungumzia UCHI kwa kuwa watu wanaoruhusiwa hapa ni kuanza miaka 18 basi hakuna tatizo. JE, NYUMA YA UCHI KUNA SIRI GANI!? Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kutoa Elimu hii, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.