Wakuu.
Kuna suala linaniumiza sana Kichwa.
Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II
Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu?
1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania?
2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui?
3. JE Tanzania...
Sio Kila point ya JITU BANDIA NI BANDIA!
Wahunii!.... Niaaje!
Siku hizi mazee ndoa nyingi zinaishia kuvunjika tu kimasihara...msemo wa rickyboy... kutokana na sababu shazi tu ( nyingi), hususan kutokana na ugomvi ndani baina ya wanandoa.
Japo haipaswi kuwa siri kiviile baina ya wanandoa...
Assalam aleykum
Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro??
Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna...
Kulia ni mtoto wa marehemu, Ruben Kasala akiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kasokola wakionyesha kaburi la marehemu baada ya kuzikwa kwa mara ya pili. Picha na Mary Clemence.
Katavi. Katika hali isiyo ya kawaida kaburi la marehemu Ruben Kasala (73) mkazi wa kijiji cha Kasokola...
Leo taasisi ya ndoa inapitia magumu mengi sana. Wababa hawajui wajibu wao na hawajui namna ya kuishi na mke kwa akili.
Mwanamke ametoka kwenye ubavu mmoja tu wa mwanaume, hivyo basi mwanaume unatakiwa uwe kichwa hasa.
Wanaume wengi wa leo wamelelewa na kina mama peke yao, hawajui kina baba...
"Katika kutunza Siri za Watumishi wa Serikali niwaase sana nyie Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wengine Serikalini muache Kupiga Vistorivistori mkiwa na Madereva wenu ndani ya Magari yenu ili kuepuka Siri zenu Kuzagaa na Kuaminika kwao hawa Madereva wenu wanawajueni zaidi kwakuwa muda mwingi mko...
GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
Imebainika kuwa baadhi ya askari wa Shinyanga wanavujisha taarifa za siri zinazotolewa na wananchi juu ya wahalifu wakiwemo wezi wa mafuta katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR.
Wakizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi baadhi ya Wananchi wamedai kuwa wizi...
Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu.
Nimedokezwa kuwa kati ya...
Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu.
Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana
Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa.
Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu, David Silinde amewataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kudhibiti uvujishaji wa siri na nyaraka za Serikali kwakuwa suala hilo bado ni changamoto.
Mhe. Silinde...
Bila discussion wakuu,
Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote.
Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika...
Ushoga dili,kumbe wengine washafirishaji wa madawa ya kulevya sikia hii.
Leo ni siku nyingine tena katika chanel hii hapa unapata elimu na BURUDANI kwa kina kabisa.
Tuanze na habari kuhusu ushoga.
Ushoga ni nini? Ushonga ni hali ya kutamaniana we mwenyew angali wote. Mko na jinsia moja
MWANAUME...
PESA NA MWANAUME 👈
...
Kuna pesa na Mwanaume |✍
Ukiona mwanamke anakuletea dharau tambua yuko na Mwanaume au yuko na pesa 👈
...
Mwanamke hawezi kuwa na dharau kama hakuna anayemshika masikio! Kama hakuna anayemshika masikio jua anamiliki kiasi fulani cha pesa so wew kama ulikuwa nae anakuona we...
Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua.
Gentleman mimi nilikuwa na Mycota powder nikanyunyiza, kisha nikaenda kuzianika juani. Demu aliona...
Salaam Wakuu,
Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara.
Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii.
Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
Taarifa zaidi badae,
Kuna mtu yupo Kahama kanitaarifu kuwa Kuna ndege imeanguka, ambulance na fire zinakimbia eneo la tukio.
---
UPDATES;
Ndege aina ya Garet 5Q KTM ikiwa na abiria 42 imeanguka nje kidogo ya uwanja wa ndege wa Kahama wakati ikijaribu kutua kwa dharura huku watu 10 wanasadikiwa...
Goli Moja tulilofungwa leo limetokana na Yeye hasa kwa Uzembe wake wa Kutoruka akihofia Rasta zake na Mwanaume akapiga Header ya maana Goli.
Na aliponikera zaidi amefungisha na Kipa Manula anamsema Yeye kwa Dharau anamuonyesha Ishara ya Kufunga Mdomo.
Kitu pekee alichobarikiwa nacho ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.