Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA.
Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa...
Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!.
Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI.
Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
Tunapozungumzia Dark Side, tunazungumzia upande wa giza. Kila unayemuona kwenye ulimwengu huu ana upande wake wa giza ambao hataki watu wengine waufahamu.
Hata wewe unayesoma hapa una upande wako wa giza ambao hutaki watu waufahamu. Ndiyo! Ipo hivyo. Na ndiyo maana huwa ninawaambieni hakuna...
Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema.
Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
Wakati huu, Siri ya Kigogo wa NATO kua Muislam ipo wazi na sio siri tena. Mkurugenzi wa Habari wa NATO, Dk Murad Wilfried Hofmann. Dr Hoffman, aliukubali Uislamu na kutamka shahada katika Kituo cha Kiislamu cha Colonia kinachoongozwa na Imam Muhammad Ahmad Rasoul. Alizaliwa katika familia ya...
Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye mwenye nguvu kuliko mtu mwingine yeyote kutoka ukanda huo,sasa kitendo cha CCM kumtosa kimewaumiza...
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.
Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9
Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.
Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila...
Watu wanaoidai serikali wamepigwa marufuku kuiumbua serikali kwa mabango. Wafanyabishara wa mkoa wa rukwa waliokwama kuelewa lengo la Makonda waliandaa mabango yao; finally walilala ndani hadi alipoondoka. Hoja yake ni kwamba anawachongonisha serikali na wananchi na kwamba wavumilie serikali...
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.
Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya...
Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu
Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi
Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa wanaume hata kidogo wakuonje onje hautaolewa,
Dada wa pili (bikra): kwahiyo mwenzetu wewe ulitoa kwa...
Inawezekana kila mwanamke anatamani kuwa na uke wenye harufu nzuri na kamili, hasa kwa furaha au kuridhika kimapenzi. Lakini, matumizi ya bidhaa za utunzaji wa kike yanaonywa na wataalamu wa afya. Mara nyingi, wanawake hutumia bidhaa bila ushauri kutoka kwa wataalamu, wakijaribu kufikia lengo la...
Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni.
Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
Habari zenu,
Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake.
HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya uke ya ndani hiyo ni tabia ambayo si nzuri maana inafanya ile sehemu viji-bacteria vilivyoumbiwa...
"Licha ya Mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru na miaka 60 ya Mapinduzi bado atujafanikiwa kuwapiga na kuwashinda maadui hawa Ujinga, Maradhi na Umasikini kwa asilimia 100.
Nitataja baadhi ya changamoto ambazo zinarudisha nyuma jitihada za nchi yetu kukuza uchumi...
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k
Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na...
Hebu jisomee mwenyewe huu utetezi duni.
========
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka.
Baada ya kuandikwa...
Kuna mazungumzo “ya siri” kati ya Netanyahu na Congo DRC ili kuweza kuwahamishia raia wa Gaza huko pamoja na nchi nyingine za Africa.
Kaazi kweli kweli daah!
https://www.thedailybeast.com/israel-in-secret-talks-to-resettle-palestinians-in-congo-report-says
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.