Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa mawasiliano ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano, hasa vijijini.
Pia soma Pre GE2025 Miradi...
Anatia huruma sana,
Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda hawamuamini kabisa.
Facial expressions, tone na body language yake katika ujumla wake vinaonyesha...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
Hellow Tanganyika!
Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.
Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo?
1. Je ni Lowwassa?
2...
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu.
Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi
Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani.
Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
Wadau hamjamboni nyote?
Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!
Ukweli ni kuwa
Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
Nisipoteze muda wenu, sikiliza wenyewe.
Mods tulikuwa tunajiuliza Huyu mzee kasema nini mpaka wamshikilie hivi? Spare this watu wajue the inside out of this saga
Wanajukwaa heshima iwe kwenu.
Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki?
La Hasha,
Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
Anaandika Lieratus Mwangombe
Yesterday, the High Court ordered the Kisutu Court to hear and process Amb. Dr. Slaa's bond today. Shockingly, President Samia's Govt has maliciously failed to bring Dr. Slaa to court, citing a vehicle breakdown as an excuse. Dr. Slaa has been detained for over 20...
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio...
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo."
===================================
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
Wanabodi Habari Za Mchana...
Nimekaa nikatafakari kwa kina matokeo ya uchaguzi mkuu wa Chadema 2025, hasa katika ushindi wa Tundu Antipas Lissu Kwenye Nafasi Nyeti Na Ya Juu Kabisa Ya Chama, Mwenyekiti Wa Chama.
Hali hii inanipelekea kujiuliza na kuwauliza ninyi mambo kadhaa kwa mustakabali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.