Kama kuna vitu vya kipuuzi, kijinga na kipumbavu basi ni uwepo wa mikakati madhubuti kutoka kambi zote mbili zinazovutana sasa (Mbowe na Lissu) kutengeneza mikakati tofauti tofauti wa kuwarejesha wasaliti wa Chadema (Dr. Slaa, Msigwa, Covid 19).
Upande wa kambi ya Mbowe wao wanatengeneza...
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
Shallom.
Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.
Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.
Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua...
Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini?
Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi hasa humu nchini hasa ukilinganisha historia ya maisha yake ya kifamilia na siasa ilivyogubikwa na...
Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera.
Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema huyu jamaa aliondoka Chadema akahamia CCM, NA kupewa Ubalozi huko CANADA, kiuhalisia kwangu Mimi...
Hellow Tanganyika,
Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?
Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?
Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni?
Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏
Karibuni!
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.
Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi kupitia mitandao ya kijamii.
Kwanza ni hatari kwa usalama wake mwenyewe, lakini pia sio ustaarabu bali...
Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa
Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya...
Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk Slaa ndio kampeninmeneja wa Lissu na Mtunza fedha.
Anashinda mitandaoni na genge lake ambalo linalipwa...
Aliyasema hayo Dr. Slaa kuhusiana na Uchaguzi 2015 na issue ya kile kituo cha kukusanyia matokeo. Kile kituo kilikuwa cha siri na watu waliofahamu wachache Mbowe akiwepo.
Inasemekana yeye ndo alitoa siri kwa akinq Jan Makamba akapokea Bil 5. Ili asaliti mapambano.akatoa siri ya wapi hicho kituo...
Wakuu,
Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.
Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.
Mambo yanazidi kuwa moto.
Wasalaam.
Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema mbowe na genge lake ni wachumia matumbo na hawapo pale kwa ajili ya kupigania haki, uhuru na...
Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga.
Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana.
Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010?
Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au kitu gani kilicholeta matukio ya kuchanganya hivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.