Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua .
Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana .
Tundu lissu baada ya kutangaza...
Hautapita muda mrefu,
mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015.
Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025.
Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Pd. W Slaa (kushoto) akiangalia. [PICHA Pd. Anthony Chilumba]...
Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni.
Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza kwenye mahojiano na Crown FM amesema "Sijavuliwa ubalozi, ni nyie mnasema hizo taarifa niliziona kwenye vyombo vya habari" baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kuvuliwa kwake ubalozi na Rais Samia.
Soma: Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa
Novemba 2017...
Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani mtuandalie mtu huyu
Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo.
Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15 kujenga majina yao kisiasa wanasiasa hawa walijikuta katika migogoro ya kisiasa na CHADEMA...
Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa".
Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania maskini na wenye uhitaji. Hivi ndivyo viongozi wote wanapaswa kuwa na ili kuweza kumsaidia Mhe. Rais...
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio.
Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee.
Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
Anonymous (f37a)
Thread
ardhi
bora
dodoma
genge
jiji
maskini
ofisi
slaa
taarifa
umuhimu
waziri
Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe wakakataliwa badala yake wakaambiwa ofisi ya Ardhi ina kampuni za upimaji za watu binafsi watawapa...
Wakati Mkapa - CCM
Wakti wa JK - CHADEMA
Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM
wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA
Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
Salaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea.
Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi...
Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi.
Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua kuwa kiwanja fulani hakina mtu. Ni kuwa wanacollude na idara ya ardhi na kufanya uhalifu huo.
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.