Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho:
“Chama chetu ni cha kidigitali yeyote anaweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio...
Huyu mzee kweli ni oppurtunist. Alishachaguliwa kuwa Balozi wetu huko Sweden, na alichaguliwa na serikali ya CCM.
Sasa tunamuona tena, mdomo juu, kakimbilia CHADEMA na magwanda yake. Kiapo chake cha utii kwa Serikali ya CCM kiliisha lini?
Na kasahau kitu gani huko CHADEMA?
Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone
Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya.
Dkt. Slaa...
Januari 5, 2011
Arusha, Tanzania.
Hii ni siku ambayo wapenda amani wote hatutakaa tuisahau. Ni siku ambayo tuliondokewa na wapendwa wetu huku wengine wengi wakipata majeraha mabaya akiwemo aliyekuwa mchumba wa Dr Slaa. Hakika ilikuwa siku ya huzuni sana.
Nakumbuka mimi nilikuwa nimetoka Burka...
Inasikitisha huyu mzee hajielewi tena na kabaki sasa kutafuta kiki kwa lazima. Amegundua haitajiki tena na kabaki kutafuta muonekano kwa nguvu sana hasa mitandaoni.
Pamoja na kwamba amekuwa mapepe sana miaka ya karibuni anaweza kutusaidia kwenye katiba mpya
Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa.
Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa...
Katika makosa ambayo Chama Cha Mapinduzi chini ya aliyekuwa Mwenyekiti taifa mwaka 2020 iliyafanya ni kumpendekeza Jerry Slaa kuwa mbunge wa Ukonga.
CCM ilijipa Certificate ya kukataliwa moja kwa moja na wana Ukonga kwa kutuletea huyu mbunge mwenye dharau, kiburi, majivuno na asiyejua wala...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi.
Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania.
Dr. W. Slaa anaongeza kuwa njama zozote za kuipiku CHADEMA katika jambo la katiba mpya kwa kukiweka chama hiki cha...
Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022.
Kuhusu kutishiwa Bastola
Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.
Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jijini Dodoma leo.
Silaa amemwaga machozi akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopewa zabuni ya...
Mbunge wa Ukonga akichangia bajeti ya Wizara ya Habari na Mawasiliano leo Bungeni, amesema licha ya Serikali kuwa na Kituo cha Taifa Cha Takwimu za Mtandao (NIDC) na Mamlaka ya Serikali ya Mtandao (eGA) ambayo inasimamia mifumo ya Tehama ya serikali bado nchi yetu haina Mfumo Mkuu wa Kanzidata...
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.
Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.
Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.
Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.
Hakika huyu Dk siku...
Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana.
Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo.
Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g.
Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe...
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.
1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.