slaa

Sex and Love Addicts Anonymous (SLAA) is a twelve-step program for people recovering from sex addiction and love addiction. SLAA was founded in Boston, Massachusetts in 1976, by a member of Alcoholics Anonymous (AA). Though he had been a member of AA for many years, he repeatedly acted out and was serially unfaithful to his wife. He founded SLAA as an attempt to stop his compulsive sexual and "romantic" behavior. SLAA is also sometimes known as the Augustine Fellowship, because early members saw many of their shared symptoms described by St. Augustine of Hippo in his work Confessions. COSLAA is another twelve-step fellowship created to support the family members and friends of sex and love addicts.
SLAA encourages members to identify their own "bottom-line behaviors." The organization identifies these behaviors as "any sexual or emotional act, no matter what its initial impulse may be, which leads to loss of control over rate, frequency, or duration of its occurrence or recurrence, resulting in spiritual, mental, physical, emotional, and moral destruction of oneself and others." Maintaining "sobriety" in the SLAA program requires abstaining from one's bottom-line behaviors. However, these behaviors are never set in stone and may change as SLAA members continue in the program. Examples of bottom-line behaviors might include sexual or romantic activity outside the scope of monogamous relationships, anonymous or casual sex, compulsive avoidance of intimacy or emotional attachment, one-night stands, compulsive masturbation, obsessive fantasy, compulsive attraction to unavailable or abusive partners, and a wide variety of addictive sexual, romantic, or avoidant behaviors.
Many of those practicing the SLAA recovery program develop the ability to engage in a healthy committed relationship. SLAA encourages recovery from sexual anorexia, emotional anorexia and social anorexia, three related areas of self-deprivation that lead to isolation and often accompany patterns of addictive behavior.SLAA publishes the book Sex and Love Addicts Anonymous. It is approved by the organization for use in their fellowship. In an article regarding the applicability of 12-Step fellowships to black women, Feminist theorist Christine Saulnier criticized the SLAA book, contending that it ignored the social and political circumstances under which sexual behaviors arise and are labeled deviant.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

    Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini. Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA...
  2. Kuhusu mkutano wa Dr. Slaa, Mwanza tarehe 4 Oktober 2023

    Sasa hivi ni very late kuzungumza kuhusu maswala haya. Ukiandika saa hizi zinatokea spelling errors nyingi. We will discuss it the morning. Lakini wale wanasema watafanya mkutano bila ruhusa ya Polisi; hii sasa itakuwa mwanzo mwingine tena wa duru ya sarakasi. Kwa nini Sauti ya Watanzania...
  3. B

    Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa

    Lugha hizi ndizo tunazozielewa: Hizi ndiyo zile lugha za watu zikiitwa lugha za Mungu. Beberu akiziita: "Languages of the people." Hizi humfanya adui macho kumtoka mithili ya mjusi alobanwa na mlango. Kwamba ni mpigania haki? Mzalendo? Mwenye kukerwa na ghiliba za majizi? "Ushindwe vipi...
  4. Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

    Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake . Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ? Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
  5. Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  6. Vitu atakavyokosa Dkt. Slaa baada ya kuvuliwa Ubalozi

    Baada ya Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa hadhi ya Ubalozi Septemba 01, mwaka huu na Rais Samia Suluhu Hassan, wengi wamejiuliza juu ya vitu gani ambavyo Dkt. Slaa atavipoteza baada ya hadhi hiyo kuondolewa. Mhadhiri kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam, Godwin Gonde ambaye amefafanua kuwa hadhi...
  7. Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  8. L

    Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na...
  9. Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu kuna habari ambayo nimeipata leo kutoka kwa mtu ambae yupo karibu zaidi na kiongozi fulani wa chama cha demokrasia na maendeleo, wengi mnakiita Chadema. Ni hivi.. inasemekana baada ya Dkt. Slaa kuvuliwa hadhi yake ya ubalozi jana, kitu cha kwanza alichofanya...
  10. Mabadiliko yoyote ya mkataba wa DP World ni kiashiria cha uonevu kwa Dkt. Slaa

    Songombingo la kuvuliwa hadhi ya Ubalozi wa Dkt. Slaa, lilianzia pale kwenye kuvujishwa kwa mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani, wa DPWORD na TPA kuhusu bandari za Tanganyika Kama kawaida, viongozi wa Kiafrika huwa hawapendi kushindwa na hata wakishindwa, lazima watoe makucha yao...
  11. Ipo haja ya viongozi wetu kujali maslahi ya umma na si kujali maslahi yao na koo zao baada ya kustaafu uongozi!

    Wakuu Kama Dp world imeyeyuka rasmi baada ya tamko la Tec na wanaharakati mbali mbali kupiga kelele it's obvious kwamba mhanga wa hayo yote ni Dr slaa KWA KUWA msemaji mkuu wa kelele hizi nchini!! Gubu la mfaidikaji mkuu wa kandarasi hiyo limeamua kumtafuna Ili kupoza machungu ya kukosa ugali...
  12. Dkt. Slaa, yanatokea sasa ulijitakia mwenyewe. Ulishiriki kuwa sehemu ya maumivu ya Wapinzani

    Kinachomtokea Wilbroad Slaa ni matokeo ya usaliti mkubwa alioufanya, alikuwa katibu mkuu wa Chadema; aliendesha harakati nzito za chama .aliongoza maandamano makubwa kule Arusha vijana wakapigwa risasi wakafa akashiriki kuwazika, majeneza Yao yalipambwa kwa bendera za chama. Wewe ulitoa hotuba...
  13. Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

    Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana...
  14. Dkt. Slaa: Nitaendelea kusema ninachoamini, asema hajutii kuondolewa hadhi ya balozi

    Dkt. Slaa ameongea na mwananchi baada kuondolewa hadhi ya ubalozi, Slaa amesema taarifa hizo nae ameziona kwenye mtandao lakini hajutii chochote na nchi alizotumikia wanajua walikuwa na balozi wa aina gani. Amesema alipewa ubalozi na sasa wamechukua, hawezi kuhoji lolote. Alipoulizwa na...
  15. Kutenguliwa ubalozi Dr W Slaa: Mnaliona tatizo ninaloliona?

    Dr Wilbroad Slaa ni mpinzani wa siku nyingi, toka kuanzishwa siasa za vyama vingi. Dr Slaa ni kama yule mchezaji katika timu, si wa kutegemewa sana, lakini anaweza kutokea nyuma na kufunga goli la ufundi. Tunaikumbuka List of Shame. Alopoteuliwa kuwa Balozi wengi tulishangaa sana, lakini ndo...
  16. B

    Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

    Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa: "Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.". Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini", Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe. Tusiogope waungwana kula na...
  17. Walianza kupotosha hotuba ya Dkt. Slaa, na sasa wanapotosha hotuba ya Askofu Shoo, watawala wanajua nini kitafuata?

    Mara ya kwanza Dkt. Slaa akitoa maoni yake rasmi kuhusu sakata la bandari za Tanganyika kupewa waarabu wa DP world, aliweka wazi msimamo wake kuupinga mkataba ule. Jambo la ajabu ni kuwa vyombo rasmi vya habari hapa Tanzania (hususani magazeti) yakaja na upotoshaji mkubwa huku yakitengeneza...
  18. Wazalendo Kama Dk Slaa wakitoweka taifa letu litaibiwa kama shamba la bibi. Leo wapo wapigaji wanalazimisha na kuwaona Watanzania Mapopoma

    Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake? Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu? Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu? Taifa hili...
  19. Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

    Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote, kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya...
  20. Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

    Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko. Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni. Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…