smartphone

  1. M

    Smartphone km mic

    Wakuu naomba kujua app au mfumo wa ku connect smartphone moja kuwa mic na nyingine ichukue video km unafanya interview. Mfano kwenye picha nime screenshot hapo chini
  2. Mad Max

    Mnaotumia Smartphone za ku-fold au ku-flip, ni kweli mnahitaji hizo models au mlibebwa na trend?

    Wakuu. Sahivi naona kila kampuni la simu either lina models za ku-flip au ku-fold na kama hazipo sokoni basi wapo mbioni kutoa. Ni trend inayofanya vizuri. Sasa hivi hadi makampuni ambayo uwa yanachukuliwa "poa" wametoa flip na fold. Sasa kwa jinsi vidude vilivokua na bei kubwa, risk na...
  3. Mad Max

    Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  4. snipa

    FCC yaipa kibali Space X kulink starlink na Smartphone, ISP wa bongo mnasubili nini na kazi imewashinda Vijijini?

    FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
  5. G

    Sober house ya kidijitali: Kwa mwezi mzima kaa mbali na smartphone, laptop, game, Internet, n.k. utapunguza uteja na utapata faida zifuatazo

    Afya ya akili kuongeza utulivu wa kihisia - Simu zinachangia sana kutibua hisia, upo whatsapp / instagram mara unakutana na status za watu mnaojuana wametoboa huku wewe unajitafuta, wameoa / kuolewa wewe bado, timu yako imefungwa inataniwa, kuna sherehe imefanyika hujaalikwa, n.k. Kuongeza...
  6. Down To Earth

    Nifundisheni jinsi ya kurudisha sms zilizofutwa kwenye simu (smartphone)

    Habari wana Tech wa JF? Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo Nawezaje kuzirudisha? Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
  7. G

    Ni umri gani mtoto apewe simu ya kitochi cha mawasiliano? Ni umri upi apewe smartphone yenye internet?

    Toa pendekezo, sababu, elimu na tahadhari Kuanzia umri gani mtoto apewe kitochi cha kuwasiliana N umri upi apewe smartphone
  8. G

    Mnaoichukia Israel msitumie Smartphone, Laptop, Googlr, n.k. makampuni giant ya kompyuta na Internet huitegemea Israel kwenye kubuni

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  9. Mad Max

    Wana Teknolojia nina Swali: Bora kununua mid-ranger smartphone mpya au flagship used ya miaka 2 iliopita?

    Nna swali kidogo. Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu. Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
  10. Last_Joker

    Hivi Ndio Sasa Tunaweza Kuvaa Teknolojia: Vifaa vya Wearables Vinavyotawala Dunia

    Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa teknolojia. Ndio, unavaa kabisa kama vile umevaa nguo au saa, lakini teknolojia inafanya kazi zenyewe bila...
  11. Mad Max

    Huawei wamezindua simu ya kwanza kujikunja mara mbili. Base model ni Tsh Mil 7.8

    Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle! Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate ambayo ni simu ya kwanza Duniani kukunjwa mara mbili. Yaani iko hivi, ukiikunjua full unakutana na...
  12. R

    Makinika, kumiliki smartphone bila kudownload BIBLIA ndani yake, ni ushamba mkuu!!

    Salaam ,Shalom!! Umeshawahi kujiuliza nini kinaweza kukutokea ikiwa utajifunga kitambaa cheusi machoni na kutembea barabara ya mwendokasi? Katika nyakati hizi tunazoishi, simu ya mikononi inachukua muda, nafasi kubwa sana katika maisha ya Kila siku, ni device ambayo muda wote uko nayo, sisemi...
  13. Mechanic 97

    Msaada: Njia ya kutumia memory card kwenye simujanja zaidi ya moja bila kuformat

    Wakuu miaka michache iliyopita huko niliwahi pata idea kazaa ya biashara kuhusu teknolojia, sanyansi na Sanaa. Hivyo nimeamua kuchukua hatua Kwa kuanza na teknolojia ni simple idea lakini naona itakua na manufaa Kwa watu wengine. Hivyo katika kupangilia jambo nimekutana na kipengere Cha jinsi...
  14. mahroof

    Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

    Msaada wakuu Simu yangu ni huawei ni used from china Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
  15. Gloria the writer

    SoC04 Vijana na afya ya akili (AFYA YA AKILI NI MTAJI) Tanzania niitakayo vijana wapate application inayo husiana na masuala ya Afya ya akili

    Tanzania tuitakayo Selikari ianzishe Application inayo husiana na masuala ya afya ya akili vijana wengi wanaona ni aibu kwenda kuelezea matatizo yanayo wakabili wakiamini Depression ni magonjwa ya kizungu lakini app moja ikianzishwa inayo deal na maswala ya msaada wa afya ya akili ikatoa...
  16. contask

    Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

    Habari wanajukwaa, Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi wetu. Mimi ni kijana nipo chuo fulani nikiwa najihusisha kuuza...
  17. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  18. Arnold Kalikawe

    Blackberry na Nokia zilipendwa sana miaka ya nyuma, ila walikuja kuanguka vibaya sana

    Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
  19. Balqior

    Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

    Habarini Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana...
  20. chris emex

    Phone4Sale Poogle Pixel for sale

    150,000tsh call 0628 880 380 Pixel 4a 5G kila kitu kipo poa mstari tu umejichoraa
Back
Top Bottom