Wajameni.
Wkt nakula bia mhudumu wa bar alinitolea mpya Leo.
Mimi. "Wewe dada lete Serengeti lite, na konyagi. Gras iwe ndefu tafadhali"
Mhudumu. - Huyo akaenda akaja na bia Serengeti baridi na konyagi kaschana. " Serengeti Moja au mbili." ?
Mimi. "Mbili"
Muhudumu. " Nii panue?"
Mimi...
Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa.
Muda huo...
Habarini wakuu. Kumekuwa na imani potofu kuwa mtu anayeharisha hatakiwi kutumia vitu kama soda na juisi. Utasikia, "Usimpe soda huyo anaharisha."
Ukweli ni kinyume chake. Mtu anayeharisha anapoteza madini nw maji mengi sana. Na mara nyingi hii ndiyo hupelekea kufa, hasa kwa watoto. Kwa hiyo mtu...
Soda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700.
Kwa hesabu za harakahara hapa kuna ongezeko la sh. 200 ambayo ni asilimia 40% ya sh. 500.
Ni kweli production costs zimeongezeka kwa 40% au ni mwanya tu wajanja wanautumia kutengeneza fedha watoto wao wapelekwe chekechea...
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
Juzi nimesikia NIHF ipo karibu kufirisika. Waziri anasema gharama za kutibu magonjwa yasiyoambukizwa ni kubwa sana. Ni magonjwa gani hayo yasiyoambukizwa?
Makubwa ni Kisukari, figo na high blood pressure. Haya kwa sehemu kubwa husababishwa na ulaji mbovu na sedentary lifestyle na yanahusiana...
Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!
Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji.
Lakini...
Wakuu habarini za jioni.
Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane.
Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
Habari
Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile,
▶️CAUSTIC SODA
▶️HYDROGEN PEROXIDE
▶️SULPHURIC
▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa)
▶️SODIUM CYNIDE
▶️SULPHONIC
▶️CAUSTIC SODA
▶️NITRIC ACID
▶️FORMALINE
▶️SODA ASH
▶️CMC (sodium methyl cellulose)
▶️SODA ASH
▪️TITANIUM DIOXIDE...
Ikifika hivyo 2014 enzi za jk.
Ikashuka 2016.
Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia?
Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
Dar es Salaam. Gharama za uendeshaji zimetajwa kuwa sababu ya kuongezeka bei ya soda aina ya Cocacola na Pepsi.
Vinywaji hivyo kwa muda mrefu vimekuwa vikiuzwa kwa Sh500, lakini sasa imeongezeka na kufika Sh600 kwa soda za ujazo wa mililita 300 na 350.
Mwananchi ina nakala ya waraka wa kampuni...
Soda Tsh 600 badala ya 500
Maji ya Hill/Uhai 600 badala ya 500
Mafuta alizeti lita 5, 39,000/= badala ya 22,000/=
Nondo milimita 10, 20,000/= badala ya 12,500/=
Alizeti ya Singida inaathiriwa vipi na vita ya Ukraine? Mafuta ya Arizeti yapo kwenye magodown ya wahindi wanabana ili wacheze na...
Duuh yani baadhi ya vitu ni ngumu kuamini kuwa kuviacha ni janga la koo na ulimi soda ni moja ya vinywaji pendwa kwa watu ila baadhi ya watu wanashindwa kujitambua kuwa imeadhiri mfumo wao wa akili
Binafsi naona hii kwangu ikitokea nimekua Addicted na kitu cha COCACOLA yani ukinipa hii soda...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa ripoti ya Soda na siku 7 kwa vifaa vya ujenzi ziwe zimemfikia kwani inashangaza kusikia Soda zimeadimika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.